bongo fleva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dar: Show ya Heshima kwa Wakongwe wa Bongo Fleva si ya Kukosa

    Deiwaka World chini ya Joseph Mbilinyi “SUGU” kwa kushirikiana na Alliance Francaise (Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa), imeandaa “Bongo Flava Honors” Concerts ambalo ni Jukwaa mahsusi kwa Wakongwe wa Bongo Flava. Concerts hizi zitafanyika Alliance Francaise, Upanga, Dar Es Salaam. Kila mwezi...
  2. Hizi hapa nyimbo tatu kali za Bongo Fleva tulizofunga nazo mwaka

    1 : kontawa - champion 2: Dulla makabila - Pita huku 3: Mbosso - Shetani
  3. Mika Mwamba ndiye Producer mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza beats kali kuwahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva

    Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee...
  4. U

    Ni Msanii Gani wa Bongo Fleva mwenye Nyimbo nyingi wa wakati wote,? Sugu, Juma, mond au prof

    Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini. Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
  5. SoC02 Muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) unavyoweza kutumika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Utangulizi Leo nitaongelea mada inayohusu muziki wa kizazi kipya na jinsi muziki huo unavyoweza kutumiwa kikamilifu kutoa ajira kwa vijana ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini. Lakini kabla sijaendelea mbele, naomba nielezee mkwamo unaosababisha biashara ya muziki huu usipanuke...
  6. Figisu ndani ya mziki wa Bongo Fleva

    Habari za majukumu wakuu.. Moja kwa moja kwenye mada, haina ubishi kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imeendelea sana wote tunashuhudia vijana wanavojituma kusukuma gurudumu la bongo fleva kusogea.. kufanya mziki ni ndoto ya mamilioni ya vijana (nikiwemo mimi) lakini kwa hali ilivo sasa uhalisia...
  7. Ni kwanini tasnia ya bongo movies haeindelei mpaka leo ukilinganisha na bongo fleva?

    Hali inazidi kutisha sana katika upande wa bongo movies, kwani hiyo tasnia haiendelei na wala hailipi. Ukija kutafta watu maarufu na wenye hela utakuta ni wa bongo fleva, je huko bongo movies shida ni nini? The late Kanumba alijaribu kuipambania sana hiyo tasnia baadaye JB naye akaipambania...
  8. Wasanii wa Filamu kuhusu Sensa ya Watu na Makazi Mwaka huu 2022

  9. Yafahamu Makundi ya muziki kipindi hicho

    Hapa tusahau kidogo kuhusu Mabaga Fresh, Solid Ground Family, Hard Blasters wale wa kipindi hicho watakua wanayafahamu. Njoo kwenye kizazi chetu ndio mziki wetu wa kisasa unaanza kuvuma kulikua ja makundi kadhaa yaliyochangamsha sana mziki wetu ndipo tukaanza kusikia Maneno kama vile BIFU. 1...
  10. FID Q asilaumiwe, hana Verbal intelligence

    Kwema Wakuu Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri. Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
  11. Rais Samia amkumbuka Juma Nature, hii ni heshima kubwa kwa mkongwe huyu wa Bongo Fleva

    Nukuu ya Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa jingo la benki, Machi 5, 2022 amemtaja staa mkongwe wa Bongo Fleva kwa kunukuu moja ya mstari wake aliowahi kuuimba kwenye kazi zake za muziki. Hii hapa nukuu ya mama Samia: "Mwanangu Juma Nature alisema, kwani wao...
  12. Fahamu kuhusu hili kutoka kwa Mwanamziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz

    Msanii Diamond anataraji kudondosha EP yake kesho yenye kifupi cha #FOA ambapo kirefu chake bado kitendawili hadi ifikapo kesho huku ikiwa imenakshiwa na rangi ya orange. Ikumbukwe mara ya mwisho Diamond kuachia album ni 14 Machi 2018 ‘A Boy from Tandale’ ambayo ilikuwa Ni album ya 3 ukiachana...
  13. Nyimbo zangu tano kali za Bongo Fleva

    Kiukweli TZ tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( Bongo Fleva). Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini. Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za Bongo...
  14. RayVanny badilika...

    Rayvanny ni moja ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki. Nakung'ata sikio Ray muziki unaoimba sasahivi unakupoteza, umetoa nyimbo zaidi ya tano hakuna hata moja iliyo hiti hii siyo kawaida yako. Umepotea kabisa kwenye platform mbalimbali...
  15. Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

    Hi 👋 Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende kuwapa pongezi kubwa Producers Miika Mwamba, PFunk na Master J kwa kazi nzuri waliyofanya maana...
  16. Bongo Fleva safari bado ndefu kuthaminiwa Miaka 60 ya Uhuru

    Nimekwazwa na kilichotokea kwa wasanii kufurumushwa uwanjani pasipo kutumbuiza na pia kuonekana kama watu waliokuwa wamevamia shughuli licha ya kuwavalisheni mavazi yenye uwiano wa rangi na jeshi lenu pendwa halikuwa jambo la kupendeza wala kupongezwa. Ni kweli tulipaswa kuenzi utamaduni wetu...
  17. C

    Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.

    Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify. 1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M 2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M 3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M 4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
  18. Watambue Wasanii wa Bongo Fleva waliopiga kelele hadharani kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa

    Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai. Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
  19. Siku hizi Nyimbo za Bongo Fleva Fupi Kinoma

    Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4. Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na sekunde kadhaa. Hapo kuanzia biti la kuanza hadi mwisho kabisa. Nakumbuka zamani kidogo wimbo kua na...
  20. Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

    Kwa kipindi cha miaka ya 90’s mpaka 20’s ilikuwa ili msanii uweze kutoboa lazima ujiunge kwenye kundi lolote la muziki na ndio maana kwa kipindi hicho idadi ya makundi ilikuwa kubwa na yalidumu kwa muda mrefu,walikusudia kuifanya Tanzania kuwa "Taifa la hip hop’’, vijana kuondokana na maisha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…