bongo fleva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Mziki wetu wa Bantu unafeli wapi vs Bongo fleva?

    Sikiliza kwa makini wimbo huu, namna maudhui, sauti na mpangilio wa vyombo ulivyofanyika. Je mziki huu wa kibantu unafeli wapi against Bongo fleva? Yaani mziki wa namna hii kwa nini unashindwa ku break into the music industry !! tatizo?
  2. Bongo Fleva tulipotoka na tunapoelekea

    Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wasanii wakifanya vizuri hasa kwenye soko la ndani. Wapo waliokuja wakajaribu bahati zao wakatoa hit song mbili tatu wakapotea. Wapo waliokomaa na gemu mpaka sasa tuna enjoy kazi zao hawa tunawaita wakongwe TULIPOTOKA. Miaka ya nyuma kabla...
  3. Je, wasanii wa muziki wamekubaliana na uharamia (piracy) katika kazi zao?

    Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri. Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…