Bongo ukimpenda mtu utaitwa mshamba. Mwanamke wa kibongo akijua unampenda na kumjali anakutangaza kwa rafiki zake kuwa amekukamata na huwezi kufurukuta, na hata fala atakuita.
Wabongo wengi hawajui thamani ya upendo. Niliwahi kununua maua Mlimani city halafu nikampa muuzaji kama ishara ya...
Wanabodi,
Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.
Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
Kiukweli TZ tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( Bongo Fleva).
Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini.
Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za Bongo...
Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
Hii ni independent study yangu.
Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya wanaume 2. Ni mazingira ya kutokuwepo mapenzi ya dhati kama nchi zingine. Na ugumu wa maisha...
Tanzania ni nchi moja ya ajabu ambo watu wake wengi ni wabinafsi kupita maelezo, mwanzoni walimbeza sana Fernandez na hii naongea kwa experience Kuna ambao niliwauliza kuhusu Nala na Fernandez wakaishia kumbeza kwamba afiki Mahalia
Juzi jumanne ameraise USD million 10 inaweza ikawa ndo startup...
Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo.
Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano.
Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
Eti wakuu, bongo kuna wataalamu wa kujenga na mawe namna hii, wakatoa nyumba imara? Pia naomba kujua faida na hasara za nyumba ya mawe. Gharama zake zikoje?
Ndo kusema haya mambo hamyawezi au?
Toka nimetembelea kule sijawahi ona hata chat room ya kiswahili au hata forum ya kiswahili!,mnakwama wapi au mnaogopa kuonyesha ufundi wenu.
Ni mbaya sana kufikiri kule Kuna vitu viovu tu!,na kule ndio Kuna michuano mikali ya kivamizi (platform yako kuwa...
Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi hiki walau walikuwa wanapata chochote. Ghafla watu wakaanza kupirate DVD na kuziweka kwenye flash...
Wakuu! Natumaini mu wazima
Nina shida na kwaito kutoka South Africa "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii.
Nimepita kwa baadhi ya Djs huku Nanjilinji lakini sijazipata
Nimefanikiwa kupata ngoma moja...
Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature.
Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha yake kubwa ilikuwa ni storytelling.
Ipo wazi Juma Nature ndio bingwa wa storytelling kibongobongo...
Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic.
Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic.
Wasanii wa bongo...
Hi 👋
Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende kuwapa pongezi kubwa Producers Miika Mwamba, PFunk na Master J kwa kazi nzuri waliyofanya maana...