bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Proved: Bongo bila kukata kamba hutoboi

    Wakuu huu ukweli uwaweke huru. "Bongo bila kukata kamba hutoboi"
  2. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawajui thamani ya upendo

    Bongo ukimpenda mtu utaitwa mshamba. Mwanamke wa kibongo akijua unampenda na kumjali anakutangaza kwa rafiki zake kuwa amekukamata na huwezi kufurukuta, na hata fala atakuita. Wabongo wengi hawajui thamani ya upendo. Niliwahi kununua maua Mlimani city halafu nikampa muuzaji kama ishara ya...
  3. JamiiForums Tanzania The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

    Wanabodi, Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!. Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali, Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
  4. JamiiForums Tanzania Nyimbo zangu tano kali za Bongo Fleva

    Kiukweli TZ tulibarikiwa sana vipaji kwenye kiwanda chetu cha muziki ( Bongo Fleva). Miaka ya nyuma tulikuwa na vipaji vingi sana lakini kadri miaka inavyozidi kwenye vipaji vinazidi kupotea, kuna haja ya wadau wa muziki huu kuzinduka usingizini. Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kali za Bongo...
  5. JamiiForums Tanzania Bongo nyoso

    Yaani ustarabu zero kabisa Hii video inasikitisha na kuchekesha Watu hatuwezi kujipanga Wafrika tuko kama barbarians tu Ova
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wachambuzi wa soka uchwara wa bongo: Waliishia kucheza mchangani, wanaongozwa na unazi badala ya weledi. Ni Ali Mayai Tembele tu anayestahili.

    Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU...
  7. JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi, hakuna nchi inaongoza kwa Wanawake kutongozwa na Wanaume wengi kwa siku kama Tanzania

    Hii ni independent study yangu. Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya wanaume 2. Ni mazingira ya kutokuwepo mapenzi ya dhati kama nchi zingine. Na ugumu wa maisha...
  8. JamiiForums Tanzania NALA imeprove wrong expertise wengi wa Tanzania baada ya kuraise $ million 10

    Tanzania ni nchi moja ya ajabu ambo watu wake wengi ni wabinafsi kupita maelezo, mwanzoni walimbeza sana Fernandez na hii naongea kwa experience Kuna ambao niliwauliza kuhusu Nala na Fernandez wakaishia kumbeza kwamba afiki Mahalia Juzi jumanne ameraise USD million 10 inaweza ikawa ndo startup...
  9. JamiiForums Tanzania Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

    Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo. Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano. Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
  10. JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara za nyumba za mawe? Bongo kuna wataalamu wa kujenga kwa mawe namna hii?

    Eti wakuu, bongo kuna wataalamu wa kujenga na mawe namna hii, wakatoa nyumba imara? Pia naomba kujua faida na hasara za nyumba ya mawe. Gharama zake zikoje?
  11. JamiiForums Tanzania IT wa bongo mbona hamuanzishi platforms dark net?

    Ndo kusema haya mambo hamyawezi au? Toka nimetembelea kule sijawahi ona hata chat room ya kiswahili au hata forum ya kiswahili!,mnakwama wapi au mnaogopa kuonyesha ufundi wenu. Ni mbaya sana kufikiri kule Kuna vitu viovu tu!,na kule ndio Kuna michuano mikali ya kivamizi (platform yako kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Bongo movie hawawezi kuuza movie zao kwenye flash?

    Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi hiki walau walikuwa wanapata chochote. Ghafla watu wakaanza kupirate DVD na kuziweka kwenye flash...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kwaito Zilizotamba Bongo kuanzia 2014

    Wakuu! Natumaini mu wazima Nina shida na kwaito kutoka South Africa "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii. Nimepita kwa baadhi ya Djs huku Nanjilinji lakini sijazipata Nimefanikiwa kupata ngoma moja...
  14. JamiiForums Tanzania Juma Nature ndio best storyteller wa muda wote Bongo. Wasanii wachanga mnao-rap jifunzeni kwa Juma Nature

    Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature. Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha yake kubwa ilikuwa ni storytelling. Ipo wazi Juma Nature ndio bingwa wa storytelling kibongobongo...
  15. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

    Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic. Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic. Wasanii wa bongo...
  16. JamiiForums Tanzania Collaboration bora zaidi za Bongo Fleva

    Hi 👋 Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende kuwapa pongezi kubwa Producers Miika Mwamba, PFunk na Master J kwa kazi nzuri waliyofanya maana...
  17. JamiiForums Tanzania Nini kilicho nyuma ya ma-producer wa Bongo kutokea kwenye familia za kishua/zenye unafuu kiuchumi?

    Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi biashara nyingi Bongo zinavyoanguka ghafla

    Kuna kitu nimekiona miongoni mwetu sisi waswahili, ambacho sio salama kabisa katika kuendesha miradi yetu ya kibiashara. Hii unaweza kuwa ndio sababu kubwa sana ya biashara nyingi kufa kifo cha mende hasa pale zinapoanza kuchangamka tu. Jana nilipita mahali kupata lunch majira ya...
  19. JamiiForums Tanzania Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

    Habari zenu wana JF. Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka pamoja na selection lakini ningependa kujua mapema ili nijipange(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa mbaya kuhusu DIT kwamba inashuka viwango naomba unisaidie...
  20. JamiiForums Tanzania Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

    Habari zenu wana JF. Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka kwa selection ya 2022 lakini huwa na penda kufatilia vitu mapema ili nijipange.Ningependa kupata mawazo yenu kuhusu hiyo title.(dhumuni kuu:nimechagua DIT kwenye selform but tangu nije home nasikia sifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…