boniface jacob

Meya Boniface Jacob
Boniface Jacob Aligombea udiwani kata ya Ubungo kwa mara ya kwanza mwaka 2010 akiwa mwalimu wa sekondari, alishinda na kumuangusha mgombea wa CCM, Wakili Abduel Kitururu.

Meya Jacob alichaguliwa tena kuwa Diwani mwaka 2015. CHADEMA ikamchagua kupeperusha bendera ya umeya wa Kinondoni akishindana na Benjamin Sitta, mtoto wa Samuel Sitta na diwani wa Kata ya Msasani. Boniface alimshinda bwana Sitta na kuwa Meya wa Kinondoni.
  1. L

    Baadhi ya wana CHADEMA waanza kumpigia magoti Boniface Jacob na kumuomba Msamaha. Soma barua hii hapa

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎 BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA PWANI . Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya...
  2. L

    SI KWELI Boniface Jacob aamua kujiweka pembeni ya Siasa za CHADEMA na kuhamia kwenye ufugaji wa kuku

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kusema ya kuwa Mheshimiwa Boniface Jacob ameamua kujiweka pembeni ya ulingo na masuala mazima ya siasa za CHADEMA na kuamua kujikita kwenye shughuli zake binafsi za kijasiriamali. Ambapo Mheshimiwa Jacob ambaye ni Mayor wa zamani wa Ubungo ameonekana akiwa...
  3. KING ASSENGA

    Pre GE2025 Barua ya wazi kwa mheshimiwa ex mayor wa ubungo na mwenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

    Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika...
  4. The Watchman

    Pre GE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

    Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani == Freeman Aikaeli Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbowe amteua Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa wakala wake Uchaguzi CHADEMA

    Wakuu Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai kuwa wakala wake katika zoezi la upigaji kura kwenye mkutano mkuu wa chama hicho ambapo wajumbe...
  6. M

    Pre GE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

    Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje. Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe...
  7. sonofobia

    Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

    " Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana". " Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao " "Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka...
  8. sonofobia

    Ex Mayor Boniface Jacob atoa onyo, Ndugu yako akiitaka vita mpe anachohitaji

    Kumeanza kuchanganka Boniface Jacob mjumbe wa kamati na mwenyekiti wa pwani Chadema lakini pia ni kijana mtiifu wa Freeman Mbowe ametoa onyo. Je unahisi ili onyo limepelekwa kwa nani?
  9. 4

    Hotuba ya Boni Yai, Mwenyekiti Kanda ya Pwani (Chadema) imenitoa machozi

    Wakuu wangu JF niwasalim kila mmoja kwa imani yake Poleni wafiwa wote kwa kuondokewa na wapendwa wenu kisa tu uchaguzi Serikali za mtaa, nimetoka katika maombi binafsi na moja ya maombi yangu leo nimemwambia Mungu wangu kutimiza kile alinena nami ndani ya siku 67. Katika maombi yangu leo...
  10. S

    Kauli za akina Tundu Lissu, Boniface Jacob, Twaha Mwaipaya, Mdude Nyagali, Pambalu, Sativa, Heche ndizo zimesababisha 4R kusahaulika

    Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana. Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
  11. T

    LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

    Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli. Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
  12. Cannabis

    LGE2024 Boniface Jacob awataka wanachama wa CHADEMA wasiwe na sifa za nzi wawe wakali kama nyuki, atangaza msako wa wale waliowaengua wagombea wao

    Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
  13. Teko Modise

    Boniface Jacob (Boni Yai): Salamu kutoka Segerea (Ujambazini)

    SALAMU KUTOKA UJAMBAZINI.. Najua ukisikia neno “ujambazini” lazima utashtuka kidogo. Nikutoe hofu neno kabisa. Neno ‘ujambazini’ ni jina la eneo kama ilivyo Posta, Masaki au Manzese. Nikupeleke sasa Ujambazini huko. Ujambazini ni Magharibi mwa Jiji la Dar es salaam, na kusini mwa Wilaya ya...
  14. Erythrocyte

    Usilolijua ni hili, zaidi ya askari 100 wametumika kumlinda Boniface Jacob Mahakamani

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba pamoja na Boniface Jacob kuachiwa kwa Dhamama kulikuwa na Jambo la kustaajabisha kidogo lililojitokeza Kwenye Mahakama ya Kisutu. Sisi wengine kwenye mambo Makubwa huwa pia tunaangalia mambo madogo madogo, Jicho letu limeangazia idadi ya Askari waliomiminwa...
  15. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

    Muda mfupi baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwanasiasa na Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesea wakati anakamatwa na Askari wa Polisi kulikuwa na purukushani kubwa kiasi cha yeye kuchaniwa nguo zake akibaki na ‘boksa’ tu. Anasema...
  16. Cute Wife

    Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Leo, Jumatatu Oktoba 07.2024 Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imekubaliana na hoja za utetezi kuhusu pingamizi la kutopatiwa dhamana lililokuwa limewekwa na Jamhuri/serikali dhidi ya aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni na baadaye Ubungo, Dar es Salaam Boniface Jacob (Boni Yai), hivyo...
  17. Chachu Ombara

    Boniface Jacob apata dhamana baada ya kushikiliwa mahabusu kwa takriban siku 19

    Hakimu mkazi Mkuu Franco Kiswaga wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam anayesikiliza kesi hiyo anatarajiwa kusoma hukumu ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Boniface Jacob (Boni Yai). Ingawa mashtaka yanayomkabili yana dhamana, lakini tangu aliposomewa mashtakata...
  18. Chachu Ombara

    UPDATE: Boniface Jacob kuendelea kusota rumande baada ya jeshi la Magereza kukosa usafiri wa kumfikisha Mahakamani Kisutu kusikiliza dhamana yake

    Hatima ya dhamana ya Boniface Jacob "Boni Yai," itajulikana leo, Septemba 23, 2024, wakati Mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu maombi ya Serikali ya kuzuia dhamana yake. Boni Yai alikamatwa na kuletwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambapo alikabiliwa na mashitaka mawili...
  19. R

    law technicalities: Kesi ya Boniface Jacob- Kutoka Fatma Karume on - Framing a charge, if this is to be the way You will never WIN!

    Fatma Karume anasema: Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye BURDEN of proof. Can you prove a NEGATIVE beyond reasonable doubt? To make it easy for you DPP: Unaweza...
  20. THE FIRST BORN

    Moja ya Makada wa CHADEMA ambao wenye mvuto sana kwa jamii katika ulingo wa Siasa ni Boniface Jacob A.K.A Boni Yai remember the name

    Habari! Mimi ni Moja ya wafuasi wa kutupwa Kule X nafuatilia sana machapisho ambayo hua anayaweka huyu jamaa For sure this Man ni threat Kwa serikali jamaa hua hatumii matusi hata kama baazi ya vijana wengine waliko katika Siasa. Umejiuliza kwanini Boni YAI na sio Martin Maranja? Martin hua...
Back
Top Bottom