Boniface Jacob Aligombea udiwani kata ya Ubungo kwa mara ya kwanza mwaka 2010 akiwa mwalimu wa sekondari, alishinda na kumuangusha mgombea wa CCM, Wakili Abduel Kitururu.
Meya Jacob alichaguliwa tena kuwa Diwani mwaka 2015. CHADEMA ikamchagua kupeperusha bendera ya umeya wa Kinondoni akishindana na Benjamin Sitta, mtoto wa Samuel Sitta na diwani wa Kata ya Msasani. Boniface alimshinda bwana Sitta na kuwa Meya wa Kinondoni.
MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amesimamishwa kuendelea na kampeni, akidaiwa kukiuka kanuni za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Mgombea huyo, kwa mujibu wa Msimamizi wa Jimbo la Uchaguzi Ubungo, Beatrice Dominic, amesimamishwa...
HABARI,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Maendeleo ya kijamii ameahidi kutokomeza yote yaliyoshindikana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.