" Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana".
" Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao "
"Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka...