Serikali ya Kenya imefuta bili ya hospitali ya shilingi 815,805 aliyokuwa akidaiwa Boniface Kariuki aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya Juni 25
Kupitia taarifa iliyotolewa na wizara ya afya, serikali pia imeamua kufuta bili za wagonjwa wote waliolazwa katika hospitali ya kitaifa...
Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na kupoteza kiasi cha KSH 200,000 (sawa na zaidi ya TZS milioni 4)
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.