boniface kariuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali imefuta billi ya hospitali shillingi 815,805 alilokua akidaiwa Boniface Kariuki

    Serikali ya Kenya imefuta bili ya hospitali ya shilingi 815,805 aliyokuwa akidaiwa Boniface Kariuki aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya Juni 25 Kupitia taarifa iliyotolewa na wizara ya afya, serikali pia imeamua kufuta bili za wagonjwa wote waliolazwa katika hospitali ya kitaifa...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba wa kijana aliyepigwa risasi kwenye maandamano atapeliwa zaid ya Tsh. Milioni 4 fedha ya matibabu

    Baba wa Boniface Kariuki kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano nchini Kenya amenasa kwenye mtego wa matapeli waliodai kuwa maafisa kutoka Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), na kupoteza kiasi cha KSH 200,000 (sawa na zaidi ya TZS milioni 4) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…