Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama inabidi ijitafakari iwe huru na ya kutenda haki ili hata kama mkulima ataenda mahakamani kulalamika kuhusu...
Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 alisema kuwa kuna umuhimu sasa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa ruzuku kwa taasisi zinazotoa misaada ya kisheria kwa wannachi...
Nawasihi sana ndugu zangu tusiwe wepesi wakunyooshea watu vidole!
Mwabukusi kafanya kazi kubwa sana inayostahili kupongezwa!
Huwezi kumpima mwabukusi kwa jambo moja!
Angekuwa mtu wa dili wangemalizana nae kipindi cha bandari!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
Ifahamike kwamba mambo...
Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa;
"Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
https://youtu.be/zgoZejCXR1M
Wakuu,
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa mwanachama wake Wakili Joseph Masanja lililotokea Babati Mkoani Manyara.
Kupitia taarifa iliyotolewa na chama hicho Disemba 28, 2024 imeeleza kuwa mwili wa marehemu Wakili Masanja uliokotwa eneo la Bwalo...
Boniface Mwabukusi
@Mwabuk2Boniface
·
1h
Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣
Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe kamfanya nini? Hivi kweli TL kaihamishia ccm lumumba badala ya kwa wanasheria wenziwe?
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula.
Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Yupo wapiii?
Kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, inayoeleza umuhimu wa ushirikiano na serikali katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria, inathibitisha nafasi kubwa ya serikali katika kuhakikisha haki inafikiwa na raia wote.
Serikali, chini ya uongozi wa Rais...
Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo.
Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi anatajwa kuwepo kwenye timu ya Wanasheria kwenye kesi itakayofunguliwa London dhidi ya Kampuni ya Tigo.
Soma Pia:
Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
Tundu Lissu kuiburuza Tigo...
Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi.
Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza...
🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU.
Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September 2024 walikosea
https://m.youtube.com/watch?v=azUKcQAt0jc
Rais wa TLS akiongea na jopo la...
Nikiri kuna changamoto kwenye vyama vya siasa, mimi sipendi kuumauma maneno kwa sababu mimi kweli ni wakili, lakini mimi ni mwanasiasa ninavijua hivi vyama, vina changamoto kubwa, vinaumiza na kukatisha tamaa wananchi.
Ni vyama ambavyo kwa kweli havionekani kujiandaa hasa kuwa mbadala wa CCM...
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za kimsingi. Maandamano haya yalionyesha hisia kali kutoka kwa wananchi wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.