Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe Maramoja. Usalama wa Wakili Mwenzetu na wote waliokamatwa ni kipaumbele chetu.
Pia soma=> Lissu...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda tume maalumu ya kuchunguza ushiriki wa Jeshi la Polisi kwenye masuala ya utekaji na utesaji kwa kuwa Jeshi la Polisi limekuwa likituhumiwa kushiriki katika vitendo hivyo...
Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika.
Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu.
Uapisho huo umefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Wakili Boniface Mwabukusi alitangazwa kuwa Mshindi wa...
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274...
Hongera Kwa Nafasi ya kuongoza Tanganyika Law Society.
Ila nakukumbusha tu usisahau zile kauli zako za kishujaa, tunasubiri kuziona Kwa vitendo.
Nakukumbusha tu pitia na hii video vizuri ili usisahau.
Soma=> News Alert: - Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos?
Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa)
Kwamba Lissu atashinda 2025?
Naona Shangwe kibao kwa makada CHADEMA kila kona ya Tanzania.
Soma=>...
Salaam Wakuu,
Pamoja na kwanza Mawakili hasa wa kujitegemea na Wananchi wote wanampenda Mwabukusi, lakini Serikali imeshatia Mguu, Mawakili wote wa Serikali wamelipiwa kwenda Dodoma kupiga Kura.
Na wapo kikazi kwani wamepewa Maelekezo kwamba Nkuba ashindwe.
Kwa siasa za TLS, na Mawakili...
bonifacemwabukusi
chadema
hongera
matokeo urais tls
mwabukusi ashinda urais tls
mwambukusi
tangayika law society
uchaguzi tls
uchaguzi wa rais tls
uchaguzi wa tls
Hakuna chama cha wanasheria hapa, heshima imeshuka sana katika taasisi hii.
Hiki chama kimegeuka kuwa chama cha siasa na mm ntafurahi sana huyo Mwabukusi mnayedhani ataleta mabadiliko awe Rais wa hicho chama kipya cha siasa nchini kilichojificha kwenye mwamvuli wa chama cha kitaaluma...
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇...
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja
Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria. Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.
Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba...
Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania
Jumaa Mubarak 😃
----
Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Julai 26.2024 imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na...
Mwabukusi akitema cheche
Baada ya wakili Boniface Mwabukusi kukatwa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa madai ya kuwa na doa la kimaadili kinyume na kanuni za uchaguzi huo, ameibuka akisema kuwa wakati wa zoezi hilo la uchaguzi, aliwekewa...
Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024
Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika.
PIA SOMA
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.