Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya jamii, Zabron Singer, Shangwe Voices, Agape Gospel Band, pamoja na The Survivors Gospel Choir...