Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi.
Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi.
Nyumba za wageni...
Baada ya vilio vingi kuhusu mabinti zetu kuwatenda vibaya vijana wetu
baadhi kufunga harusi Leo na baada ya wiki ndani hakukaliki Kama sio kukutana mahakamani kupeana taraka
Katika mizunguko yangu nimekuja kugundua Kuna hazina ya mabinti wema nje ya makanisa,misikiti,majumbani,vyuoni na...
Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere...
1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi.
2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi haswa japo ni kama hajui namna ya kuwasilisha utaalamu wake kwa umma akaeleweka.
Kama unahitaji kufanya finishing za mjengo wako, basi kwa upande wa rangi, hakuna rangi bora kama za Silkcoat paint.
Hizi ni rangi za kituruki
-Hapa nazungumzia Stone au wengi wanapenda kuziita Drewa
Pia Decorative plaster hizi zipo za mifuko na ndoo, za ndoo zinaitwa Silkoterasit
kuna...
𝐊𝐎𝐅𝐅𝐈 𝐎𝐋𝐎𝐌𝐈𝐃𝐄 𝐕𝟏𝟐 𝐀𝐋𝐁𝐔𝐌
Ni albam ya 13 ya Koffi Olomide. Iliachiwa mapema mwaka 1995. Kwa mujibu wa Tutu Roba, mdogo wake Koffi hii ndo albamu bora zaidi ikifuatiwa na Efrakatta. Kipaji kilitumika haswa. Hii album ilinikuta tayari niko shule ya msingi. Nadhani mwaka 1995 albam nyingi kali za...
Sote tu Mashuhuda wazuri wa baadhi ya habari zinazotangazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusu Kesi zinazoendelea, ambapo kuna baadhi ya kesi nyingi hushtakiwa nazo watu pasipo hata wao kutenda makosa hayo.
Lakini Baadhi ya Mawakili wanaojua Vizuri Sheria na waliopita...
Image Source: Pinterest
Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa,
"Walimu wanaotanguliza uhusiano sio tu kuwa na wanafunzi kwa mwaka mmoja. Wana wanafunzi wanaowaona kama mwalimu wao wa Maisha"
Mateso tuliyopitia kwenye elimu yetu si lazima kizazi hiki kipitie.
Mateso yaliyofanya wengi kutokujiamini...
Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
1. Biashara zimeandamwa na makodi ya mamlaka na fremu ilihali uwezo wa ununuaji umepungua
2. Kilimo kinaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi na bei kuyumba
3. Mazao ya mifugo hutoa mbolea, nguvu kazi, chakula na bei yake haishuki daima hupanda mfano kuku bei ya 15000-20000 imedumu kwa miaka...
Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi.
Wimbo bora wa taarabu...
Misumeno na yenye ala inauzwa.
Ni mikali na imara sana.
Inafaa sana kwa shughuli za nyumbani,kambini,ufundi.
Inafaa pia kukatia pemba za ng’ombe na mbuzi.
Wahi ofa hii katika bei ya shilingi 10,000/= kwa mmoja.
Misumeno ipo kumi kwa sasa, na inaweza kutumwa popote nchini kwa uaminifu mkubwa...
Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum.
Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari.
Mabaki ya sukari baada ya kuiunguza ( AMP) husisimua king'amuzi (exercise sensor) kilichoko kwenye chembe hai. King'amuzi hiki...
Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL.
Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam inakikosi kizuri, kwa maoni yangu azam ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita.
Beki wa kushoto...
Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya jamii, Zabron Singer, Shangwe Voices, Agape Gospel Band, pamoja na The Survivors Gospel Choir...
Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania.
1. TBC 1 Aridhio
2. TBC 1 Aridhio
3. TBC 1 Aridhio
4. KAIFA ya TBC Taifa
5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa
6. Dira ya mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.