Huu ndo uamuzi bora kuwahi kufanywa na CHADEMA

Huu ndo uamuzi bora kuwahi kufanywa na CHADEMA

Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote.

Heko chadema.
Yaani cdm wametukosha wananchi kisawasawa. Na ukweli umedhihirika kuwa cdm ndio chama chenye wapiga kura wengi, ila huwa kura zao zinaporwa kwa nguvu ya dola. Ile voters turn out ilionyesha ukweli wa ushawishi na nguvu ya cdm ambayo huitwa nguvu ya umma.
 
1. Chura kiziwi anaozea ndani.
2. Machawa na wanamuziki wanalipa.
3. Tshirts , baiskeli na pikipiki za ccm zimegeuka kuwa vitu haramu kuonekana navyo mitaani.
4. Udaku na umbea vimekosa soko.
5. Mbowe na genge lake (genge55) wamejitangaza kuwa matapeli.


Hongera sana Chadema.
 
Kuendesha chama kikubwa kama CDM bila chochote kutoka serikalini kwa miaka 5 sio mchezo.
Hiyo kuendesha chama kwa kutegemea ruzuku ya serekali ndio kulifanya vyama vya upinzani kuburuzwa na ccm. Cdm wamejitoa muhanga kwenye hilo. Wataendesha chama chao kwa michango ya wafuasi wake. Kama pesa itakuwa kidogo huo ndio uhalisia na cdm kama chama wako tayari kulipa gharama ya hilo.
 
Back
Top Bottom