Huu ndo uamuzi bora kuwahi kufanywa na CHADEMA

Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote.

Heko
Kilicho barikiwa na kukubalika na wanadamu wanao muamini Mungu ni ngunu Kudunishwa na binadamu aliyeamua kumuasi Mungu!
 
Uamuzi ni sahihi,majambazi ccm hawaamin macho yao,wamekosa uhalali wa kuongoza watz kilichobakia policcm ndio waongoza nchi
 
Wanachama ndio wanatakiwa wavichangie vyama vya siasa, sio kodi za raia au vyama kufanya biashara. Wanachama kuchangia vyama ina maanisha wanakikubali na kufuatilia mambo ya chama chao, pia inaondoa kiburi kwa chama ni kukifanya kiwe kinasikiliza na kuwajibika kwa matakwa ya wanachama wake walio wengi.
Ila changamoto ni kwamba, watungasheria hiyo ndio wako bungeni.

Lazima waangalie maslahi mapana ya chama.
 
Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote.

Heko chadema.
Wangeshiriki nini na vipi wakati hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi? Wao si mafisi kama chauuma na actzitto
 
Wanachama ndio wanatakiwa wavichangie vyama vya siasa, sio kodi za raia au vyama kufanya biashara. Wanachama kuchangia vyama ina maanisha wanakikubali na kufuatilia mambo ya chama chao, pia inaondoa kiburi kwa chama ni kukifanya kiwe kinasikiliza na kuwajibika kwa matakwa ya wanachama wake walio wengi.

Uchumi wa hao wanachama kuweza kuchanga fedha za kuendesha chama kuanzia juu kabisa Hadi ngazi ya shina kule chini kabisa vijijini sio jambo dogo.... Kwa miaka 5 mfululizo unaweza kuona hali itakuwa vipi... Na kuchangia wanachama wamekuwa wakichanga sana na bado vyama hivi vilichukua ruzuku.

Tindo, bahasha bado ipo sana tu. Hata hali ya maisha inakuonesha wazi kwenye hizi harakati wapo wanao neemeka zaidi.
 
Raia wananunua jezi za timu za mpira kila mwaka tena wanaringishiana kununua kwa bei ghali, wanalipia kuangalia mechi za mpira, matamasha ya muziki n.k hawawezi kushindwa kulipia elfu moja kwa mwezi kwenye vyama vyao.
 
Nikweli ila je wamefanikiwa kwa kiasi gani
Mafanikio ya kwanza direct ni kujitenga na uchafu wa ccm pili wameivua ccm nguo tatu imeonyesha nguvu ya chadema nne utajua faida yake ukivunja ungo.
 
kujitenga na uchafu wa ccm
Kwani ni lini walijiunga nao huo unaouita uchafu wewe ukisusa wenzio wanakula hapo hujaikomoa ccm yani ni sawa umempiga teke chura kiufupi bado hujasema mafanikio waliopata chadema kama chama na wanachama wake
 
Utakuwa na akili ndogo ila ccm wanajua ubaya na athari waliyoipata kutokana na chadema kutoshiriki.
 
Back
Top Bottom