Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Bora Waganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi tulikuta tupo korokoroni, wakawaua watoto zetu kama nzige wakachimba mashimo wakawafukia kama takataka.
Waganda wamezimiwa huku wakiwa na taarifa lengo ni kuwa wasioneshe vijana waliojitokeza KUCHAGUA Bobi Wine bali watuoneshe mizee ambayo imejitokeza KUCHAGUA Museveni.
Mimi najiuliza mseveni miaka 40 madarakani anataka afie hapo IKULU?
Nawahauri waganda rekodi matukio, wakiruhusu mtandao nyinyi yarusheni tuone Museveni, mwanae na mkewe walivyowachinja.