Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

Rad020

Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
65
Reaction score
93
Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki chache zinazotoa hizi card, kwa wenye uzoefu na kutumia hizi prepaid za usd a/c za benki ni benki ipi ina card bora salama na isiyo na makato makubwa na charges nyingi?
 
Prepaid za USD sijawahi kutumia nimetumia hizi debit card, cha kuzingatia card husika iwe imewezeshwa kufanya miamala online.

Siku za hivi karibuni nimekuwa muumini wa hizi MasterCard (Virtual) zinazotolewa na mitandao na ziko vizuri, mara nyingi nanunua vitu AliExpress kupitia hizi Virtual card.

Kama kuna kitu hujaelewa uliza tu mkuu
 
Kwenye eneo la makato na charges ni wapi pana unafuu kidogo, mana nilishajaribu kununua vitu US kwa card ya simu, nikakatwa 10% na charges zingine sijui fx markup fees na mfano amazon wenyewe nao wana charge fedha kama unanunua bidhaa kwa currency nyingine isiyo dola, sijafaham unafuu uko wap ndo mana nikauliz pia kwa wale wenye uzoefu wa kutumia hizi prepaid cards za benki za usd wanisaidie hapo, inawezekana maybe kuna unafuu kidogo huko
 
Zote hizo zinazo hizo nark up fees pamoja na fx charges hakuna sehemu ya unafuu mimi nimetumia prepaid cards za banc abc, exim, sasa hivi natumia ile ya mpesa visa..kuna moja nilianzaga nayo hio makato yalikua balaa nimeisahau ile benki ya wanigeria sijui inaitwajee
 
ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu..
- Zote ni salama.

- Unapaswa kufikiria factor zingine kama customer care pindi:

1. Umefanya muamala, fedha imekatwa, muamala upande wa pili manunuzi hayajakamilika - Kwa swala kama hili Benki huduma ni bora zaidi. Kwa mitandao ya simu ni pasua kichwa kushughulikia swala lako kwa wakati.

na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki chache zinazotoa hizi card, kwa wenye uzoefu na kutumia hizi prepaid za usd a/c za benki ni benki ipi ina card bora salama na isiyo na makato makubwa na charges nyingi?
- Katika kipengele hiki jambo muhimu la kuuliza kwenye benki utakayo enda iwe ni: Je makato ni kwa kila muamala unaofanya au ni fixed monthly hatakama hujafanya muamala wowowte?

1. Iwapo unaweza pita mwezi bila kufanya manunuzi, basi benki sahihi na account sahihi ni ile ya makato kwa kila muamala.

2. Iwapo kwa mwezi orodha miamala ya manunuzi ni kubwa, basi cagua banki/account yenye makato ya kila mwezi.

Faida ya kuwa na USD account ni unapunguza kiwango cha makato kati ya asilimia 10-14, ukilinganisha na hawa wanao tumia hizi virtual card.
 
- Zote ni salama.

- Unapaswa kufikiria factor zingine kama customer care pindi:

1. Umefanya muamala, fedha imekatwa, muamala upande wa pili manunuzi hayajakamilika - Kwa swala kama hili Benki huduma ni bora zaidi. Kwa mitandao ya simu ni pasua kichwa kushughulikia swala lako kwa wakati.

- Katika kipengele hiki jambo muhimu la kuuliza kwenye benki utakayo enda iwe ni: Je makato ni kwa kila muamala unaofanya au ni fixed monthly hatakama hujafanya muamala wowowte?

1. Iwapo unaweza pita mwezi bila kufanya manunuzi, basi benki sahihi na account sahihi ni ile ya makato kwa kila muamala.

2. Iwapo kwa mwezi orodha miamala ya manunuzi ni kubwa, basi cagua banki/account yenye makato ya kila mwezi.

Faida ya kuwa na USD account ni unapunguza kiwango cha makato kati ya asilimia 10-14, ukilinganisha na hawa wanao tumia hizi virtual card.

- Zote ni salama.

- Unapaswa kufikiria factor zingine kama customer care pindi:

1. Umefanya muamala, fedha imekatwa, muamala upande wa pili manunuzi hayajakamilika - Kwa swala kama hili Benki huduma ni bora zaidi. Kwa mitandao ya simu ni pasua kichwa kushughulikia swala lako kwa wakati.

- Katika kipengele hiki jambo muhimu la kuuliza kwenye benki utakayo enda iwe ni: Je makato ni kwa kila muamala unaofanya au ni fixed monthly hatakama hujafanya muamala wowowte?

1. Iwapo unaweza pita mwezi bila kufanya manunuzi, basi benki sahihi na account sahihi ni ile ya makato kwa kila muamala.

2. Iwapo kwa mwezi orodha miamala ya manunuzi ni kubwa, basi cagua banki/account yenye makato ya kila mwezi.

Faida ya kuwa na USD account ni unapunguza kiwango cha makato kati ya asilimia 10-14, ukilinganisha na hawa wanao tumia hizi virtual

- Zote ni salama.

- Unapaswa kufikiria factor zingine kama customer care pindi:

1. Umefanya muamala, fedha imekatwa, muamala upande wa pili manunuzi hayajakamilika - Kwa swala kama hili Benki huduma ni bora zaidi. Kwa mitandao ya simu ni pasua kichwa kushughulikia swala lako kwa wakati.

- Katika kipengele hiki jambo muhimu la kuuliza kwenye benki utakayo enda iwe ni: Je makato ni kwa kila muamala unaofanya au ni fixed monthly hatakama hujafanya muamala wowowte?

1. Iwapo unaweza pita mwezi bila kufanya manunuzi, basi benki sahihi na account sahihi ni ile ya makato kwa kila muamala.

2. Iwapo kwa mwezi orodha miamala ya manunuzi ni kubwa, basi cagua banki/account yenye makato ya kila mwezi.

Faida ya kuwa na USD account ni unapunguza kiwango cha makato kati ya asilimia 10-14, ukilinganisha na hawa wanao tumia hizi virtual card.
HIli ndio jibu nilikuwa natafuta nashukuru mkuu🙏
 
Back
Top Bottom