kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kelela

    JamiiForums Tanzania Ulikutana na nini uliponunua gari used hadi ukajuta kununua gari

    Ulikutana na nini uliponunua gari used (za mkononi hapa Tanzania) hadi ukajuta kununua gari. Share nasi ili tupate kujifunza.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Nyongo: Hakuna wa kuinunua serikali ya Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo amewatoa hofu Wananchi wa Kijiji cha Fukayosi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, akisisitiza kuwa hakuna Mtu aliye juu ya sheria wala anayeweza kuinunua Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nyongo ameyasema hayo Novemba 3, 2026, alipofika Mijijini hapo...
  3. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Naweza kununua Tani 30 ya cement kutoka kiwandani?

    Natamani kujua kama naweza kununua Tani 30 ya cement kutoka kwenye kampuni kama twiga na Simba cement. Maana nasikia kuwa wanaruhusu order kutoka kwa mawakala wao pekee, je naweza kuchukua kutoka kiwandani kama nachukua Tani 30? Na vipi kuhusu usafiri, Huwa Wana offer usafiri au unakodisha gari...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unafikiri Biashara ya Dobi ni kununua mashine ya kufulia tu? Fikiria tena!

    Juma alikuwa na ndoto ya kufungua biashara ya dobi (Laundry & Dry Cleaning). Alinunua mashine ya kufulia, pasi na vifaa vingine, kisha akaanza kupokea nguo za wateja. Mwanzoni biashara ilienda vizuri, lakini kadri wateja walivyoongezeka, changamoto zikaanza kujitokeza. Hakuwa na mfumo mzuri wa...
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kwanini marafiki zetu hawanunui Biashara kwetu wanaenda kununua sehemu nyingine ??

    Kwanini marafiki zetu hawanunui Biashara kwetu wanaenda kununua sehemu nyingine ? Unakuta unauza kitu fulani ila rafiki yako hanunui kwako,unashangaa badae anacho hicho kitu.!!
  7. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magadi Wasafiri Kilomita 45 Kutafuta Maji

    Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu. Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Jared Okello Ataka Uchunguzi Kuhusu IEBC Kununua Vifaa Vipya vya Uchaguzi Kila Uchaguzi

    Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali. Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
  10. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Wakuu muongozo wa kununua bidhaa AliExpress na Amazon

    Ninaomba mchakato wa kununua bidhaa hasa Amazon. Nahitaji mwongozo kutoka kwa ambaye amewahi kununua bidhaa kupitia jukwaa tajwa. Ninachotaka kufahamu ni details gani zinajazwa, hela ya supplier inakatwaje, mzigo naupokeaje na kodi nakatwaje, je, mambo gani ya muhimu ya kuzingatia kuhusu...
  11. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Watu wengi wanafikiri umaskini unatokana na udogo wa mshahara, lakini ukweli mchungu ni kwamba unatokana na mlolongo wa makosa ya kifedha unaoyafanya kila tarehe Mosi. Unapokea fedha, unalipia kila mtu mwingine kwanza, kisha unalia huna akiba pindi mwezi unapoisha. Kama alivyowahi kusema...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara ya vifaa vya simu? Usikimbilie kununua mzigo kabla ya kujua haya!

    Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani! Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ikikulazimu kununua gari ya Umeme (EV) used kutoka Japan, hizi hapa za kuzitupia jicho.

    Wakuu. Ikitokea, haujaridhishwa na mwenendo wa Bei ya mafuta, na unataka gari ambalo 99% misele Yako ni mjini bila kwenda nje ya mkoa wako, na unakaa Nyumba ambayo unaweza kupark gari na kuchaji, basi moja kati ya EV hizi zitakufaa; 1. Nissan Leaf (2018 - 2024) Ni vizuri kuanza na gari...
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kununua Blenda Halisi, Epuka Feki

    Kwenye soko la Tanzania lililofurika bidhaa feki na za kughushi, muonekano wa nje na stika za wattage kubwa ni mtego wa kisaikolojia wa kukusanya fedha zako. Wafanyabiashara na viwanda vya bei nafuu hubandika stika za uongo zenye maandishi kama "10,000W" au "Commercial Heavy Duty" kwenye...
  16. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unataka kufungua hardware? Usianze kwa kununua mifuko ya saruji na nondo peke yake!

    Watu wengi wanaona ujenzi unaendelea kila mahali na kufikiria kuwa kufungua hardware moja kwa moja ni biashara yenye faida. Lakini ukweli ni kwamba, hardware yenye bidhaa nyingi si lazima iwe hardware yenye faida kubwa. Mafanikio yanahitaji mipango, eneo sahihi, bidhaa zinazohitajika na...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanaweza kununua Hisa za Dangote kwa kiasi cha Ksh. 490 kupitia NSE

    Wakenya huenda wakapata nafasi ya kuwekeza katika Dangote Petroleum Refinery kupitia Nairobi Securities Exchange (NSE) kwa kutumia Global Depositary Receipts (GDRs), mpango ambao bado unasubiri idhini ya mamlaka husika. Kupitia mpango huo, hisa moja itauzwa kwa takriban Sh49, huku kiwango cha...
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Tujiminye kununua V8 tuwanoe vijana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amezitaka Taasisi na Mashirika ya Umma kupunguza baadhi ya matumizi na kuelekeza fedha katika kuwajengea uzoefu Vijana wanaohitimu vyuo ili kuwaandaa kuingia katika soko la ajira. Akizungumza leo, Septemba 28, 2026, katika...
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nikihitaji kununua Vivutio vyenu vyote vya utalii naanzia wapi?

    Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha? Pesa ipo.
  20. version001

    JamiiForums Tanzania CONSTRUCTION COMPANY CLASS 2 INAHITAJIKA KWA KUNUNUA

    Construction company class 2, civil class 2 building kuanzia class 3, offer on the table 300M, madeni madogo madogo kama inadaiwa yanazungumzika..kinachohitajika ni company siyo assets.. Tuwasiliane pm kwa biashara serious, pesa ipo mfuko wa shati
Back
Top Bottom