Ulikutana na nini uliponunua gari used hadi ukajuta kununua gari

Ulikutana na nini uliponunua gari used hadi ukajuta kununua gari

Kelela

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
208
Reaction score
344
Ulikutana na nini uliponunua gari used (za mkononi hapa Tanzania) hadi ukajuta kununua gari.
Share nasi ili tupate kujifunza.
 
Tuliitest kwenye lami, safi kabisa. Nilipoingia kwenye barabara zetu za mashimo mpaka nafika myumbani baadhi ya vipuri vilikuwa kwenye tenga ila ndani ya hiyo gari.
 
Hapa tanzania kuna wapi wanauza gari mpya km0? Ya mwaka 2026? Au unazungumzia used japan mpya bongo?
 
Hapa tanzania kuna wapi wanauza gari mpya km0? Ya mwaka 2026? Au unazungumzia used japan mpya bongo?
Ulikutana na nini uliponunua gari used (za mkononi hapa Tanzania) hadi ukajuta kununua gari.
Share nasi ili tupate kujifunza.
 
Nililipa hela kukagua 150k kwa fundi mimi nikiwa mkoani chini ya usimamizi rafiki angu kabisa wakasema chuma iko vizuri kumbe gearbox kimeo
 
Back
Top Bottom