Nikihitaji kununua Vivutio vyenu vyote vya utalii naanzia wapi?

Nikihitaji kununua Vivutio vyenu vyote vya utalii naanzia wapi?

Huyu anauza kivutio chake mkuu, mimi kaniambia nimtangazie jambo lake...
downloadfile-2.webp
 
Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?

Pesa ipo.
Hivi kwa nini kila siku watanganyika nanisumbua kwa mali zangu mimi ROSTAM AZIZI ....nani kakuambia kuwa nauza Mbuga zangu za serengeti na mikumi na nyinginezo .....Tembo wangu wamezidi kunenepa sana. Siwezi kumuuzia mtu nyara zangu.
 
Niuzie mimi mkuu, wewe ndio dalali mkuu?
 
Labda uje wewe nikuajiri kwenye bandari zangu uwe kuli mwandamizi
Du umenikumbusha mbali sana ...sijui mlichezaje hadi mkapewa bure kabisq bandari tena milele na mimi kuambulia mikono mitupu ...safari hii kuna yule mzimbabwe naye ananiletea shida hadi kapewa GETO IKULU ROOM NO 7....SAFARI HII LAZIMA NIKABIDHIWE JWTZ NILIFANYE KUWA KAMPUNI LANGU LA ULINZI... SECURITY
 
Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?

Pesa ipo.
kuna kisiwa chetu pendwa cha Unguja njoo na 3T USD tukukabidhi chote, wazanzibari tunawahamishia BARA
 
Back
Top Bottom