Pc bei kigonga kabisa 280k. Hp Pro book. Proccessor Intel-Pentium (7th Generation) Ram 8gb, Hdd 500gb, battery 4hrs uhakika. Price 28k maongezi yapo 0628116693
Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko!
Kwa nini Congo isiwabane UAE...
Ukiwa na Mapesa HUWEZI...
1️⃣ Kununua Wokovu – Wokovu wa Mungu haupatikani kwa fedha bali kwa imani katika Kristo Yesu. (Waefeso 2:8-9)
2️⃣ Kununua Amani ya Moyoni – Amani ya kweli inatoka kwa Mungu. (Yohana 14:27)
3️⃣ Kununua Upendo wa Kweli – Upendo wa dhati haupatikani kwa pesa. (1...
Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee.
OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman.
Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa.
============
CEO...
CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo
Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao...
Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee
Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆
Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida
Jamani weusi wenzangu acheni ushamba WA vitu vya mzungu
Ungo KWA ajili ya kupepetea mchele
Tunguli KWA ajili ya kunywea maji
Chungu...
Wadau hamjamboni nyote?
Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes.
Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland.
Pia Marekani imewahi kutaka kukinunua kisiwa cha Greenland mara kadhaa katika miaka ya 1867, 1910, 1946, 2019 na...
Yaaani Unatoa 3M,
Unaletewa 10k × 365 = 3,650,000
Faida kwa mwaka = 650,000
Faida kwa mwezi = 54,000.
Faida kwa siku = 1,800, 😂😂😂
Wagonjwa wa akili ni wengi..
Issue sio aina ya biashara tuu, japo bado ni ya kufikiria mara mbili, Maana inamaanisha Piga Ua, faida ya Mmiliki wa boda boda(1,800)...
Wakuu,nimepitia malalamiko mengi kuwa pressure cooker za umeme,zinasimbua sana.
Kampuni gani ni nzuri,nasikia zinatumia umeme vizuri sana..
msaada wazoefu.
Tuuze na kununua hapa, sema unataka nini na bajeti yako ikoje pia wewe unayeuza toa taarifa za unachouza kwa ushahidi na useme wewe ni dalali au mmiliki wa unachouzwa. Tuuze kuanzia nafaka, mashamba, viwaja, vifaa mbalimbali, magri, nk.
PIA kama unataka kujua mahali/duka utakapopata kitu fulani...
Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja
1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali.
2. sqmt zianzie 400
3. budget iwe haizidi milion 5
4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja
5.maji umeme...
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana.
Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni.
Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG.
Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
Good Afternoon Everyone.
Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router??
Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.