Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu au mwaka labda?
Wale hustlers
Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali,
Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo,
Sasa na utete twende tukanunue au tupapotezee maana haya mambo huchanganya Sana
Utete unakwenda kuzaa mkoa WA rufiji...
"Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae"
Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope chochote" wakati yeye amezungukwa na mabaunsa na nje impaki gari ya milioni 250 inasumbiria kuondoka...
Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mtafaruku ni Mkubwa. Huu mwaka naona unaisha vibaya Mno. Kama sitakuwa macho nyumba yangu inaweza kuvunjika.
Sorry nianze kwa Salamu maana Leo mtanifaa Sana kwa ushauri Bora.
Assalam alyekum kwa Waislam,
Tumsifu Yesu Kristo kwa Waislam.
Wapagani, salama...
Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote duniani na mbinguni.
Kama kichwa cha Uzi kinavyo jieleza, nahitaji gari dogo lililotumika Kwa bajeti isiyozido ml. 6.6
Aina ya gari ninazopendelea ni Spacia, raum, runx/allex, probox/succeed, premo na ractis.
Kama unayo, nitumie dm picha...
Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri.
Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze.
Ni miaka nane...
Habarini wana jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu.
Natamani nipate gari kama Spacio au Raum ila sina uzoefu kabisa na magari.
Hivyo nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ni vitu...
Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow.
Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge!
NB
Matumizi yangu ni ya kawaida...
Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.
Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
Wakuu,
Mimi sikuwa mzuri wa somo la hisabati wakati nasoma, pengine mnaweza mkaja na calculator tuje tupige hesabu.
Wakati naperuzi huko mitandaoni nimekutana na clip hii ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Zahara Michuzi
Katika hali isiyoezeleka Mkurugenzi huyu amekataa...
Wataalamu mliomo humu, naomba mtupe gharama ya vifaa vya kisasa vinavyotakiwa kwa shughuli za uokoaji kwenye majanga kama haya ya watu kufukiwa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka.
Ni bora tukajadili mambo haya labda wenye mamlaka wanaweza kuona aibu na kuchukua hatua ili siku...
Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke)
Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe
Matone ya mkojo hudondokea
Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao)
Kwa wanawake zina zinagusa Period
Chupi ni nguo ya kwanza kupokea hewa chafu
Bora uende dukan ununue chupi / boxer za bei chee kuliko original...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.