Jaymond kununua nyumba Sweden, anaweza kudhulumiwa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Msanii wa Kitanzania ambaye alikuwa comedian na sasa ni kama content creator wa video fupi za kucheza mitandaoni ambaye ni Jaymond akiwa na Mpenzi wake Isabella kutoka huko Sweden wamefanikiwa kununua nyumba yao ya kuishi pamoja.

View: https://youtu.be/f4z3j5N8b8g

Lakini mimi binafsi naona kama Mwanaume alipaswa kujenga nyumba yake nchini Tanzania. Hili lolote likitokea at least awe pia na kwake.

Kumbuka hawa jamaa hawajaoana na hawana mtoto. Na hakuna Mtanzania mwenye Uraia pacha, hivyo Jaymond hawezi kuwa Mswiden

nyumba yao imejengwa Sweden tena hipo karibu na nyumba za wazazi wa binti na ndugu zake wengine.

Siku wakizinguana, ni rahisi kijana kukosa baadhi ya haki. Tena wazungu wanavyojua kupelekana mahakamani, na kwa sisi ngozi ya pumbu, ngozi nyeusi utoboi katika mahakama zao.
 
Unajua tofauti kati ya Sweden na Denmark?
 
Tupunguze na tuache kutoa ushauri kwa mambo ya watu
 
Back
Top Bottom