Inahitajika nyumba ya kununua kuanzia Mbezi, Kibamba na Kiluvya

Inahitajika nyumba ya kununua kuanzia Mbezi, Kibamba na Kiluvya

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
333
Reaction score
404
Location: Kuanzia Mbezi Mwisho, Kibamba hadi Kiluvya
Budget: Isizidi Tsh Milioni 50


Mahitaji ya nyumba:

• Vyumba 3 (kimoja kiwe Master Bedroom)
• Sitting Room & Dining Room
• Jiko kizuri
• Public Toilet
• Nyumba iwe imekamilika full tayari kwa kuhamia
• Iwe na Tiles, Gypsum na Madirisha ya Vioo
• Isiwe na mkopo wa bank wala mgogoro wowote
• Iwe na Hati ya Wizara au Mkataba wa Mauziano
• Isiwe zaidi ya KM 3 kutoka Morogoro Road

Kama unayo au unamfahamu mwenye nyumba inayokidhi vigezo hivi, tafadhali wasiliana nasi kupitia WhatsApp:

0675 065906
Asante sana

file_00000000691471fbb0c98b55ca9342dd.png
 
Back
Top Bottom