Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

Joined
Apr 26, 2021
Posts
39
Reaction score
74
Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k ila baada ya mda najikuta narudi. Nimefunga wiki kuliombea hili suala ila wapi baada ya kama wiki tati nilijikuta narudi kwenye kununua na kunywa tena.Nimejaribu kuanza mazoezi gym na martial art kidogokidogo(karate) labda nitajifunza discipline na endurance ila Bado kuna mda unafika narudi tu kununua Malaya na hapo lazima niambatanishe na pombe ni suala ambalo linanitesa sana akili maana imekua kama addiction nikienda sana bila kufanya hvo vitu labda ni wiki 3 najikuta narudi tena.Ni suala linaninyima amani ya akili lakini pia naona kabisa linarudisha maendeleo yangu ya kazi(uchumi) nyuma Hadi sometime nahisi labda nimerogwa.Naombeni mawazo kama kuna aliyefanikiwa kushinda addiction kama hizi alifanyaje fanyaje (ila njia za kishirikina /kwenda Kwa waganga ndo siwezi daima) .Asanteni familia.
 
"Kuokoka" sio sababu ya kutosha kuushinda uraibu. Kwani ukiokoka unatakiwa uwe mkamilifu? Si unatubu tu.

Ongeza sababu; labda hutaki maradhi, labda unabana matumizi, labda unataka kuwa timamu kwa ajili ya shughuli zako nk.

Sijakushauri ila nimeona niseme haya tu.
 
weka determination kwenye kuacha hayo mambo, addiction huwa haiondoki kirahisi rahisi lazima uanze na baby steps yaana mdogo mdogo hadi uzoee na la msingi jitahidi upate mwenza hata wa kuzungumza naye tu, sio lazima muwe mna duu.

kwako Seran kama una nyongeza
 
"Kuokoka" sio sababu ya kutosha kuushinda uraibu. Kwani ukiokoka unatakiwa uwe mkamilifu? Si unatubu tu.

Ongeza sababu; labda hutaki maradhi, labda unabana matumizi, labda unataka kuwa timamu kwa ajili ya shughuli zako nk.

Sijakushauri ila nimeona niseme haya tu.
Mimi nakunywa daily Kila jioni lazima ninywe konyagiiii ndogo moja..

Ukiamua KUACHA unaweza ni kujipa sababu na kuchukia Ivo vitu... kwenye kuchakata mbususu/papuchi sijui kama utaweza maana kichupa kitajaa shwaaaaaaaaaaa utatamani uteleziii.

Aanze KUACHA pombeee
 
Bonda starehe, kufa kwaja !!!! Haya mambo ya kuokoka mnadanganyana sana ! Ebu okoka ukae ndani bila kufanya kazi usipofia huko !!!!!
Pesa yako , jasho lako upangiwe matumizi ?

Ukimwi upo cheza kwa step
 
Kingine ukiweza oa, ama kama hujajipanga tafuta mpenzi ambaye anakua anakutelezesha .....
Pombe punguza mdogo mdogo ..... !
 
Wewe una uhuru wa bendera lakini hauko huru at all. Mkoloni shetani alishakuacha uonekane uko huru mbele ya watu,lakini bado yumo nafsini na rohoni mwako anakuendesha. Ni rahsi sana umetambua tatizo sasa chukua hatua,hatua zako zianzie moyoni mwako,jizuie kidogo kidogo mwisho utacha. Kila la kheri.
 
Kunywa pombe mbele ya watu wako wa karibu na watu wa huko ulokoleni... Watongoze wadada wa huko kwenye makutaniko.. sio uwatongozee maana kutongoza haujuii... Wawekee dau nono la kulala nao... Tangaza dau kwa kila Binti hapoo...

Wewe unaishi kikondoo kumbe Simba halafu unataka usaidizi! Jithihirishe kwanza ili watu wapate nafasi ya kukushauri.
 
1. Unapaswa muda mwingi uutenge ktk kutafakari neno la Mungu na maombi. Penda sana kuhudhuria ibada na wewe upate muda wa kufanya ibada. Ukiwa mtu wa ibada, kuliishi neno lazima uwe moto. Ule moto ndani utakufanya usitamani mambo ya kipumbavu.

2. Oa, biblia inasema ombeni nanyi mtapewa kisha mbele inasema tafuteni nanyi mtaona/mtapata. So maombi pekee haitoshi mkuu. Unapaswa uingie hatua nyinyine ya pili ya kuchukua hatua.

3. Ikishindikana kuoa, fanya sana maombi ya utakaso wa nafsi na mwili na kujitenga ktk nguvu za uraibu/vifungo kama hivyo
 
1. Unapaswa muda mwingi uutenge ktk kutafakari neno la Mungu na maombi. Penda sana kuhudhuria ibada na wewe upate muda wa kufanya ibada. Ukiwa mtu wa ibada, kuliishi neno lazima uwe moto. Ule moto ndani utakufanya usitamani mambo ya kipumbavu.

2. Oa, biblia inasema ombeni nanyi mtapewa kisha mbele inasema tafuteni nanyi mtaona/mtapata. So maombi pekee haitoshi mkuu. Unapaswa uingie hatua nyinyine ya pili ya kuchukua hatua.

3. Ikishindikana kuoa, fanya sana maombi ya utakaso wa nafsi na mwili na kujitengeneza ktk nguvu za uraibu/vifungo kama hivyo
Dah Asante ,kubwa sana hii kaka 👐
 
Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.
Huwezi kuacha hapo unaweza ukaacha kimoja tu ila kingine huwezi kuacha utachagua mwenyewe unaacha kipi unaendelea na kipi acha pombe endelea kununua malaya maana hata ukioa utaendelea kuwanunua mkeo lazima atazingua akikunyima mbunye unawahi site bila shaka
 
uwa hunatumiha site ipi kununuha maraya ?
 
Back
Top Bottom