Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Wewe uliamua kuziba tobo la panya Kwa mkate!
Unajua maana ya kuokoka au wasema tu....ajabu aliyekwambia kakuokoa (mchungaji) nae anakunywa pombeHabari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k ila baada ya mda najikuta narudi. Nimefunga wiki kuliombea hili suala ila wapi baada ya kama wiki tati nilijikuta narudi kwenye kununua na kunywa tena.Nimejaribu kuanza mazoezi gym na martial art kidogokidogo(karate) labda nitajifunza discipline na endurance ila Bado kuna mda unafika narudi tu kununua Malaya na hapo lazima niambatanishe na pombe ni suala ambalo linanitesa sana akili maana imekua kama addiction nikienda sana bila kufanya hvo vitu labda ni wiki 3 najikuta narudi tena.Ni suala linaninyima amani ya akili lakini pia naona kabisa linarudisha maendeleo yangu ya kazi(uchumi) nyuma Hadi sometime nahisi labda nimerogwa.Naombeni mawazo kama kuna aliyefanikiwa kushinda addiction kama hizi alifanyaje fanyaje (ila njia za kishirikina /kwenda Kwa waganga ndo siwezi daima) .Asanteni familia.