kununua malaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana asiye na makuu

    JamiiForums Tanzania Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

    Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa EFM Radio Wahamasishana Kununua Malaya Kahumba Morogoro

    TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia wataenda kununua malaya Kahumba Morogoro. Maudhui hayo yaliruka leo majira ya saa tano na dakika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Ndugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi. Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza? Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja...
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Nikupe siri 3 usizozijua ewe mwanaume unayenunua 'Dada Poa' kwa lengo la kujiridhisha kingono

    1. Huyo unaemnunua anamvulia kila Mwenye pesa hata kama ni kichaa, ivyo wewe msafi unavyoenda kushiriki nae unajivisha Maroho machafu kwa starehe ya dk tu🤦‍♂️ 2. Hivi unatambua baadhi ya matajiri hununua mbegu zenu kwa hao malaya mnaowaita Dada poa. Maana unapomwaga wanawahi kukuvua condom na...
  5. 0

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuachana na tabia za ngono zisizofaa: Maturbation & Ngono za kulipia

    Poleni na changamoto za hapa na pale, wanajamii wenzangu. Naomba kupewa mwongozo kwenye hili suala (ruksa kunifokea). Ukiachana na changamoto nyingine, suala la ngono nalo linaongoza kuharibu akili na maisha kiujumla hasa kwa vijana wa kiume wa miaka 18-29. Huu sio utafiti rasmi ila naongelea...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kununua Malaya ni sawa na fisi kula mizoga au simba aliyezeeka kula Vibudu

    KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa sababu kula mizoga haihitaji nguvu ñyingi wala jitihada kubwa. Mzoga unapatikana kirahisi. Fisi...
Back
Top Bottom