Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Ndugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
 
Yaa
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kifhwani unaanzaje kulaka na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja hiviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amenaliza na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Hata hao unao ona mademu wa kawaida ndio wanaouza yaan hakuna unachoruka kwa dunia tulionayo kila mtu anauza kwa namna yake.
 
kununua malaya ni kitu kimenishinda maisha yangu yote, ila shida ni moja mkuu huyo unaesema wa kwako unagharamia kuna watu hawanaakili kama unavyowaita, anawauzia goli moja elf 5.
Huyo sio wangu....akishakuwa wangu basi ni wangu tu.

Hata nikimtafuta anayejiuza nataka kuanzia siku hiyo awe wangu tu na namhamisha. Bora nigharamie ila sio watu wanakojoa na mimi nakojoa tena.
 
Kijana ule ni mtihani wa kupima maamuzi yako. Akisema wahi sema bado naongeza. Atakuheshimu milele. Usiwahi kutoka wakati wewe ndo kakupa nafasi.
Kumbuka amekupa baada ya kubembeleza sana Bei....anakwambia wahi kashakuona we kapuku. Maana kama sio Kapuku unaendaje kwa wanawake wa buku 5 tano?
 
Back
Top Bottom