Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kifhwani unaanzaje kulaka na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja hiviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amenaliza na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Mkuu malaya wapo wa public na private (wanaofanya delivery) na wengi ni wapenzi na wake za watu.

Kwahiyo jipange kisawasawa
 
Dogo, ushawahi kupita kitambaa cheupe pale Sinza?
Haijalishi wana uzuri gani usoni, we mwanaume ni kujishusha thamani kulala na mizoga iliyokata tamaa wakati wewe una akili, lazima tu mnafanana akili
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kifhwani unaanzaje kulaka na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja hiviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amenaliza na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Mwanamke gani sio malaya?
 
Siongei sana ila walindeni malaya wenu kwa wivu mkubwa sana
Tutaendelea kujitahidi.....hata kama wanaliwa sio kasi hiyo ya kuchimbua kama nazi. Malaya wanachimbuliwa mno na wanaliwa hadi na Mateja wao wanachojali pesa tu.
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kifhwani unaanzaje kulaka na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja hiviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amenaliza na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Aisee we upo kama mimi.

Katika umri wangu sijawahi kamwe kununua malaya huku nikijua kabisa huyu ni malaya. Inawezekana nimeshakula malaya, ila ni kwakutokujua sio eti niende kabisa barabarani au bar nikaanze kumsubiria malaya hell no!
 
Mkuu kosa kubwa na ujinga ni kula ukiwa unamjua kabisa na unaenda kumnunua kama bidhaa
 
Sijui lakini labda.. ila binafsi sijawahi kujikuta kwenye mazingira ambayo eti nalazimika kununua malaya. Labda kwavile nna michepuko lukuki na hata nikisafiri hua nahakikisha nabeba mmoja kama huko nakoenda sina koloni.
 
Back
Top Bottom