Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
- Thread starter
- #81
Acha kutetea uozo Mzee Mbaga.Tuelezee mwanamke wako yupoje, then tukuambie n malaya au sio malaya.
Acha kutetea uozo Mzee Mbaga.Tuelezee mwanamke wako yupoje, then tukuambie n malaya au sio malaya.
Reforms muhimu mkuu😅😅Duuh.....umefafanua sana.
Hahaha
Lakini huo huo na msai ananunua kwa elfu 10 anapiga akitoka wewe unapigwa 30Mzigo kwa 30k wa maana kabisa
Ila tu malaya tusinunueReforms muhimu mkuu😅😅
Sijatetea chcht Mkuu, Ww tupe sifa za mwanamke wako then tukueleze yeye ni naniAcha kutetea uozo Mzee Mbaga.
Duh! Ama kweli wa aina hiyo ni hamnazokununua malaya ni kitu kimenishinda maisha yangu yote, ila shida ni moja mkuu huyo unaesema wa kwako unagharamia kuna watu hawanaakili kama unavyowaita, anawauzia goli moja elf 5.
Umemaliza kila kitu..uzi ufungwe!Siongei sana ila walindeni malaya wenu kwa wivu mkubwa sana
Uliingia kwani?Kwenye mashimo yaliyooza?
Naona wanaotoka wakiwa na hali mbaya, mateja, walezi wa gongo, viroba na visungura wote wanajilia. Kujiweka kwenye category hii lazima na wewe uwe na akili kama zaoUliingia kwani?
Aisee futa kauli yako kuhusu WASUKUMA, Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hikiUkajilie vyako au vilivyooza? Wananuka balaa maana hadi wasukuma wachafu wachafu nao wanakojolea humo humo
mkuu, ni wewe ndiyo umeandika hiki au umelewa umempa mhudumu simu akuandikie?Ukajilie vyako au vilivyooza? Wananuka balaa maana hadi wasukuma wachafu wachafu nao wanakojolea humo humo
😂yani nimecheka mpaka mke wangu anahisi nime msamehe.
Bora huyu ambaye ananidanganya maana naamini ni wa kwangu tu. Lakini hawa waliojipanga mstari kama kuku wa MdondoBinafis huwa nikiwaza haipandi hata hisia napataje pale cha fasta?.
Ila nawe mkuu usimwamin ulienae, hawaelewek hawa viumbe.
Khaaa! msamehe ndugu maisha haya ni mafupi. Tuishi kwa amaniMwenyewe imenishinda kabisa kununua.
Hakuna tofauti......Wa buguruni na wa badoo ni wale wale. Unampigia simu akiwa kwa njemba nyingine. Anakwambia nakuja.Inategemea na mazingira, unaweza ukawa uko hotelini ukawa mpweke, ukajikuta unaingia mtandaoni na kuchagua sampuli inayokupendeza, ukaipa maelekezo.