Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Umeon
Yaa

Hata hao unao ona mademu wa kawaida ndio wanaouza yaan hakuna unachoruka kwa dunia tulionayo kila mtu anauza kwa
A
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Asilimia kubwa ya wanawake wenye mahusiano na mwanamme zaidi ya mmoja wanajiuza.Fikiria unamaliza mgegedo anakuuliza naomba hela niondoke! Unaona isiwe tabu umpe nauli anakwambia hazitoshi tena amekasirika.Hao watu kila mtu anajiuza kwa style yake.Kama yipo mwanamke anaetoa uchi bure bila kutarajia malipo ni wachache.
 
Mke wako unajipigia muda wowote. Swala la hela ni sehemu ya matumizi tu kwenye familia.
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Biashara ya soko huria inategemea location tu mkuu!

Unaweza OA kabisa ukaamini umeoa kumbe umenunua kwa muda,na muda ukiisha anakubadilikia baada ya kutimiza malengo yake!!!

We huoni ndoa za mitego ya kibishara tu!!?
 
Kununua malaya hasa hasa wale wa kuokota barabarani ni zaidi ya kujipaka kinyesi.
Nashukuru Mungu nilivuka hizo nuksi miaka minne imepita ila makovu moyoni bado hayaja futika
 
Malaya wapo wa level mbalimbali. Nafikiri wewe umewajumuisha wote kwa kuwafanyia rejea type ya wale wa kimboka.

Aje mwanamke mmoja hapa aseme kama yeye anatoa mbususu kwa boyfriend wake bila kutarajio malipo yoyote in-return. Aje mwanaume mmoja aseme yeye anapiga mbususu kwa demu wake bila kuingia gharama yoyote.

NB: Kila mwanamke anajiuza wametofautina mbinu za kibiashara tu
 
E Mungu nisamehe dhambi hiyo.
Tangu mwaka 2016 nanunua malaya for the first time ilikua kirumba mwanza ila ayo maroho na nuksi mnazosema.

Kila nikijaribu kuacha najikuta narudi tena
 
Aisee ni kama kifungo
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Kuna chakula kipo cha kupika nyumbani au chakununua migahawani so kama huna chakula nyumbani ufe njaa sio wakati cha kununua kipo fasta unatulizaa njaa....

Nikimaanisha malaya watu kwa ajili ya watu ambao hawaja oa wanahitaj kujituliza mihemuko ya ngono..... sikuwakioa watachagua.... pia hata mkeo anaweza kuwa malaya vile vile
 
We mwanaume mtu mzima hata kama hujaoa unakuwaje huna mipango kwenye maisha hata yanayohusu mambo yako ya kimwili na kiroho? Ndio maana wafrika hatuwezi kuwaza hata mambo ya wiki moja mbele.
 
E Mungu nisamehe dhambi hiyo.
Tangu mwaka 2016 nanunua malaya for the first time ilikua kirumba mwanza ila ayo maroho na nuksi mnazosema.

Kila nikijaribu kuacha najikuta narudi tena
Hahaha Mizoga imekunogea.....kwanza unaimbato ukiwa na wasi wasi na roho juu. Mnajipa shida sana
 
Malaya wapo wa level mbalimbali. Nafikiri wewe umewajumuisha wote kwa kuwafanyia rejea type ya wale wa kimboka.

Aje mwanamke mmoja hapa aseme kama yeye anatoa mbususu kwa boyfriend wake bila kutarajio malipo yoyote in-return. Aje mwanaume mmoja aseme yeye anapiga mbususu kwa demu wake bila kuingia gharama yoyote.

NB: Kila mwanamke anajiuza wametofautina mbinu za kibiashara tu
Kuna mwanamke anayetaka hela kuna mwanamke anayejuuz wako tofauti.

Hawa tulio nao wanataka pesa kwetu lakini huwezi kukuta wanajiuza kwa masai mchafu, msukuma mchafu, teja, mlevi wa gongo hilo hakuna.

Na pesa tunazowapa sio kwamba wamejiuz bali ni matumizi tu yakwaida na zawadi
 
Back
Top Bottom