Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Yaa

Hata hao unao ona mademu wa kawaida ndio wanaouza yaan hakuna unachoruka kwa dunia tulionayo kila mtu anauza kwa namna yake.
Kila mwanamke ni malaya ,tofauti ni soko la kuuza na kununua,watu wangapi wanakuwa na michepuko ? kuna tofauti gani hapa ? mtu ukipata mzigo wako kula ,usianze kuchunguza
 
Kumbe wabunge wako hawana mipango dhabiti? Coz wakija dom madada poa bei zinapanda na ndio watumiaji wazuri wa madada poa
 
Kila mwanamke ni malaya ,tofauti ni soko la kuuza na kununua,watu wangapi wanakuwa na michepuko ? kuna tofauti gani hapa ?
Kuufata mzoga uliojaa nzi na wadudu na harufu kali huku ukijua kabisa unakojolewa na kunyewa kila siku.lazima uwe huna akili kufanya tukio hilo
 
Nyie mnaoogopa kuchukua vya kuchinja Mademu wakali mtaweza kuwaoa?

Sisi tuna mapisi makali mno na tumetulia nazo. Na zingine tunaongeza ila sio kula mizoga
Pisi yako inafanana na hii?
leo3.jpg
 
Kumbe wabunge wako hawana mipango dhabiti? Coz wakija dom madada poa bei zinapanda na ndio watumiaji wazuri wa madada poa
We unaona Nchi ikipiga hatua? Unadhani sababu ni nini? Mtu anayekula mizoga unadhani anaweza kuwa na mipango?
 
Kuufata mzoga uliojaa nzi na wadudu na harufu kali huku ukijua kabisa unakojolewa na kunyewa kila siku.lazima uwe huna akili kufanya tukio hilo
tofauti ni usafi na uchafu ,ila wote wanajiuza na hapa hatujaangalia magonjwa ya zinaa,mbona hata wanawake wasafi wanaojiheshimu wanapata magonjwa ya zinaa wakati fulani?
 
Nyie mnaoogopa kuchukua vya kuchinja Mademu wakali mtaweza kuwaoa?

Sisi tuna mapisi makali mno na tumetulia nazo. Na zingine tunaongeza ila sio kula mizoga
Huyo unaeona ni pisi kali watu wanapunyua hauko mwenyewe
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Umeyajjuaje hayo kama wewe siyo mtumiaji?
 
Kwenda kulala na mwanamke unaejua kabisa sii muda katoka kutombwa na wanaume kadhaa ni udhaifu na mkosi sema ndio hivyo kukaza kichwa
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Je unajua hata huyo unaemgaramia ukitoka kumwagia mwanaume mwingine anamuita na kumwagia pia
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Hapo kwenye ku gharamia hapo..

Inshort wote mna nunua maana huyu mwingine hawezi pewa K kama asipotoa ela na wewe pia huwezi pewa K usipo gharamia. Tofauti yenu ni moja tu, wewe unanunua indirectly na hao wengine wananunua directly!
 
Malaya ni malaya tu awe wa kugharamia au wa buku tano kifupi wote wanauza na wanamwagiwa.
 
Hapo kwenye ku gharamia hapo..

Inshort wote mna nunua maana huyu mwingine hawezi pewa K kama asipotoa ela na wewe pia huwezi pewa K usipo gharamia. Tofauti yenu ni moja tu, wewe unanunua indirectly na hao wengine wananunua directly!
Nani kakwambia ukimhifadhi utakuwa unalipa kila siku?
 
Back
Top Bottom