Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

We unaona Nchi ikipiga hatua? Unadhani sababu ni nini? Mtu anayekula mizoga unadhani anaweza kuwa na mipango?
Kumbe inchi haijapiga hatua? We kwan uko nchi gani Burundi au!haya madaraja makubwa,mabarabara,mabwawa ya umeme,nyongeza ya mishahara kwa nyinyi watumishi yote haya ni mafanikio yanayoletwa na mipango ya hao wala madada poa dodoma,ko usijione mjanja sanaaaaaa
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Mlaya wana Grade mkuu-low to high grade
 
Lakini si unalipa mkuu? Tofauti ndio hiyo, wewe unalipia indirectly na mwenzako directly! Baasi!

NB: Jiulize usipo mpa ela ataendelea kuwa na wewe? If no basi jua ununua K.
Ngoja siku moja nitakupa kisa na matukio wanayokutana nayo walionunua. Utachoka wana siri nyingi hawazisemi. Kuna siku ntaziweka wazi
 
Mkuu kuna utofauti gani na anaekula mke wa mtu fika akijua inakojolewa na me mwingine na wewe umo tu
Huyu ana nafuu......Mkuu wale wanaojiuza hawachagui.....bolo la govi twende, fangasi twende, Mnywa gongo twende, Gono humo humo. Ukimwi twende. Walishajikatia tamaa. Hawana future
 
Ngoja siku moja nitakupa kisa na matukio wanayokutana nayo walionunua. Utachoka wana siri nyingi hawazisemi. Kuna siku ntaziweka wazi
Hata wewe unanunua mkuu, tofauti yenu ndio hiyo hapo juu, labda utupe siri wenzako wanao nunua direct na ukimaliza utupe zakwako baada ya kununua indirect
 
kununua malaya ni kitu kimenishinda maisha yangu yote, ila shida ni moja mkuu huyo unaesema wa kwako unagharamia kuna watu hawanaakili kama unavyowaita, anawauzia goli moja elf 5.
Usicjokijua nihiki akiwa nyumbani kwao utamwita dada au kwajina na utaendakwake kwa heshima huyo huyo ukimkuta bar utataka kumshikatako hata bila ridhaa yake ukimkuta ambiance usiku una mwuliza show shingapi Sijui umenielewa nacho maanisha (mazingira unayomkuta Ndio una m judge) unaezakutana nae kanisani ukajua binti mlokole humbe hamna kitu weukapiga ukiamini hivyo nawezio na kizungu ukapigwa ukiamini umehonga na wengine wakamnunua
 
Bora umkute kanisani usijue kuliko Upige misele ukienda Buguruni kwa lengo la kufata mizoga lazima una shida kichwani
 
Unakuta mwingine pisi hasa sasa namuachaje kwa mfano
She used to dance, now she got her own business
Now she pull up with her friends in some Benz's some businesses
Real niggas don’t judge, if you see her
If you see her in the clubs
Send a bottle of bubs and say n the bottle above
 
Back
Top Bottom