Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
- Thread starter
- #221
Sawa braza wanguAmini kwamba wewe bado mdogo.
Sikupi maelezo mengi
Sawa braza wanguAmini kwamba wewe bado mdogo.
Sikupi maelezo mengi
Sio kweliTofauti yako na Hawa wanaonunua ni kuwa ,wewe umeamua kutokujua huyo unayekwenda naye huwa anauzia wengine ila amejibrand kwako Ili akupasue vizuri, Wa usiku ndo hawahawa wa mchana,
Nikupongeze ni msimamo mzuri
Mzee ukiona unatoa Sana hela hiyo ni Bendera ya CAMBODIA(Red flag)Sio kweli
Kumbe saikolojia ya binadamu haujui hata kidogo wewe, kwa yote uliyoeleza si ya kuanzishia topic hapa!Ndugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.
Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?
Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.
Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
You don't need to go into much details and explanations.Kumbe saikolojia ya binadamu haujui hata kidogo wewe, kwa yote uliyoeleza si ya kuanzishia topic hapa!
Suala la 'kununua' na 'malaya' umeyaandika kwa wepesi lakini ni maneno mtambuka yanayostahili kutajwa kwa heshima!
Tuanze na 'kununua':
Maana yake ni ile dhamira ya dhati kununua huduma ama kitu bila kukazimishwa na mtu!
Je mahari siyo 'bride price', unapotoa mahari haununui hapo?
Ukija kwenye neno 'malaya' nalo pia linahusu wanawake wote waliokwisha kuzini na kung'oa bikra zao kabla ama baada ya ndoa.
Kwa muktadha huo, mwanaume aliyeoa na akaepuka kulala na malaya katika uhai wake ni 0000.01% tu kwenye dunia hii uwanja wa fujo.
Pata simulizi za malaya wanaojiuza usikie aina ya wateja wao, husimulia kuwa wengine wateja wao ni watu wakwasi mabillionea wasiopungukiwa na kitu, hawana njaa ama dhiki ya kubania pesa.
Utafiti ulioufanya ni aina ya mafundisho wanayorashiwa vijana wadogo wa komunio kwenye mafundisho yao ya awali, rudia utafiti wako upya ili kuupata ukweli wa maisha ya jamii inayokuzunguka!
Mtu mwingine kununua(kuhonga) hujihakikishia kumiliki kisaikolojia, kwamba sasa ni chake, na mnara kunasoma degree 45, hata ukimuwekeapo nazi mbili anazinyanyua kwa urijali!
Lakini akikosa pesa ya kuhonga, hukosa vyote, furaha pamoja na nguvu za kiume, huwa domo zege na kuvaa upoke wa hila.
Huo nimekupa mfano mdogo, lakini ipo mingi inayowafanya wanaume 'kulazimisha' kuhonga(kununua).
Nami pia nimeeleza in details ili usijione mnyoofu, kumbe katika tamaduni zetu huwezi kukwepa ama kufanya mapenzi bila kununua, labda ufe msimbe.You don't need to go into much details and explanations.
Uzi unaeleweka don't complicate.
Jidanganye,siku ukimfumania ndo siku utakunywa sumu ujifie kwa kutegemea wako peke yakoHuyo sio wangu....akishakuwa wangu basi ni wangu tu.
Hata nikimtafuta anayejiuza nataka kuanzia siku hiyo awe wangu tu na namhamisha. Bora nigharamie ila sio watu wanakojoa na mimi nakojoa tena.
Hatari sana hiiNdugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.
Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?
Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.
Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Utalia vibaya wewe mbwa? Nakuonea hurumaHuyo sio wangu....akishakuwa wangu basi ni wangu tu.
Hata nikimtafuta anayejiuza nataka kuanzia siku hiyo awe wangu tu na namhamisha. Bora nigharamie ila sio watu wanakojoa na mimi nakojoa tena.
Umejuaje huwa wanasema hivyo,,, njoo na ushahidi kutuaminisha kwamba hujawahi nunuafanya haraka kuna wenzako wananisubiri,
Mkuu habari za malaya ziko toka enzi za Yesu na zimekuwepo na zitaendelea. Habari zao ziko na zimeandikwa. Muhimu hakikisha wewe na ukok wako hamjiingizi kwenye Sekta hii ya kula mizogaUmejuaje huwa wanasema hivyo,,, njoo na ushahidi kutuaminisha kwamba hujawahi nunua
Hahahaha.....Kwanini Mkuu?Utalia vibaya wewe mbwa? Nakuonea huruma
UnajidanganyaHuyo unamgharamikia ni malaya kuliko hata wale wanaojiuza barabarani, ila ulivo zoba huwezi kujua mpka uwe na d mbili
Hapo sawa mkuu umenitoa wasi wasi maana niliwaza huenda na wewe ni wale wale.Mkuu habari za malaya ziko toka enzi za Yesu na zimekuwepo na zitaendelea. Habari zao ziko na zimeandikwa. Muhimu hakikisha wewe na ukok wako hamjiingizi kwenye Sekta hii ya kula mizoga
Tunakuambia unaona tunatania....mkasirishe best wake uone kmmk utamwagiwa uchafu ukomeUnajidanganya
Huyo huyo unayemgharamikia mchana usiku anaenda kujiuzaNdugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.