HuwaNdugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.
Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?
Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.
Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Usiogope huwa wanajifuta na Tishu mkuuNdugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.
Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza?
Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja huviwezi.
Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amemaliza kumwagia na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Wanaume tunaelewanaMada hii wavulana watakupopoa sana
Ila wanaume wenzio watakuelewa mnoo
Kutokujiamin mzee, ndio maana wanaume wengi ni masimp, very weak generation 😃😃Mwanaume kabisa anaona hastahili kilichobora anakimbilia mizoga iliyojikatia tamaa.
Uko sahihiAcheni kutudanganya Malaya ni mwanamke anaejiuza kwa wanaume tofauti tofauti sio sahihi kwa mtu anaejiuza kwa mtu mmoja kuitwa Malaya huo ni uongo
Hivyo wake za watu ambao wapo kwenye ndoa kikamilifu hawachepuki sio sahihi kuwaita Malaya eti kisa wanauza kupitia huduma wanazopewa huku ni kumanupulate maana ya neno malaya
This is very bad kwa kweliKutokujiamin mzee, ndio maana wanaume wengi ni masimp, very weak generation 😃😃