Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kifhwani unaanzaje kulaka na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja hiviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amenaliza na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Mie sio mwanaume lakini unazijua genye vizuri mkuu??

Hayo unayojiuliza ni baada ya bao mbili tatu
 
Ndugu mnaopoza njini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi.

Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kifhwani unaanzaje kulaka na Malaya? Tena anayejiuza?

Hii sio tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja hiviwezi.

Mtu anakwambia fanya haraka kuna wenzako wananisubiri, khaa!! AU Mwanaume mwenzako amenaliza na wewe unaingia hapo hapo? Una akili kweli? Kisa unaogopa kugharamia wa kwako?
Inaumiza sana
 
Mkuu ongelea uhalisia achana na nadharia. Malaya wa Tz hata wa Ostaby wanafanana.
Wapo Malaya wa kiwango Cha Sgr mkuu, ukilipa unakula wewe hata mwezi mzima.

Shida yako unafikiria machangudoa wa bei rahisi tu, wa Temeke Sokota.

Kumiliki Kuna gharama ya high maintenance cost
 
Back
Top Bottom