Habari zenu wakuu.
Mwenye uelewa naomba aniisaidie hapa Natafutaa warehouse kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo, either kwa kupanga au kununua kabisa.
Lakini kabla ya kufanya uamuzi naomba kufahamishwa haya mambo mawili
1-Kwa kupanga, kodi hukipwa kwa muda gani?
2-Nimesikia kuna kodi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imezuia Sh329 milioni zilizopangwa kutumika kununua jenereta mbili kwa ajili ya iliyokuwa Mamlaka ya Uendeshaji na Uendelezaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), baada ya kugundua kuwa hazina ubora...
Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo nikumba kwa sasa ni makubwa. Hio kitabu nilinunua mwezi 01. 2024.
Baada ya kusoma na kufuata maagizo...
Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15.
No way 😤
No matter how rich you are, one thing you might not waste your money on is superficial luxury items...
Ndugu zangu
Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped) na nguo za ndani kutoka kwa waume zao, wazazi au walezi wao ili kujisitiri pindi anapoingia kwenye...
Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa kuliko kuinua hiyo michezo yenyewe.
Badala ya kukaa na kuumiza kichwa ni vipi tunakuza vipaji ni...
Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa Madawati 2000,Viti na Meza 2000 zenye thamani ya Shilingi 410,000,000 zilizotokana na Mapato ya ndani...
Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏.
Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
Hello guys, mimi ni mtanzania mwenye kipato cha chini, nimeona Vodacom M-pesa app kuna kipengere wameanzisha cha kununua bidhaa kwa kulipia taratibu TUNZA APP nikaona huenda ni jambo zuri maana zipo bidhaa nazozitaka ila siwezi kulipa keshi.
Je kuna wadau humu ambao mmefanikiwa kununua bidhaa...
Habari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara...
Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara.
Mara nyingi, ardhi ya urithi...
Mfano mimi huwa naona ile ni site nzuri sana kwaajili ya kufugia kuku wa mayai watakaoweza kulisha mikoa yote ya Tanzania.
Hivi nikiwa na hela nyingi siwezi kuwahamisha waheshimiwa waende kujenga bunge huko mlimani Udom au ule mlima wa Area D kwa waziri mkuu waniachie site.
Nna swali kidogo.
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au...
Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia pikipiki.
Kimbembe wakati wa kurudi nisaidieni usafiri mzuri wa kuipakilisha pikipiki yangu TVS...
Wakuu.
Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia.
Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya hatari zaidi usipokua makini.
Sasa kuna vitu vya kuzingatia unavyotaka kununua, tutaviweka kwenye...
Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia,
Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza .
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari.
Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili.
Wa Kwanza
Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.