Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel!!.

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza?

Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu, Computer na APPS zake. waache kabisa kunywa Soda kama vile PEPSI, COCA-COLA, SPRITE, FANTA na Soda zingine.

Maana bidhaa zote hizo Taifa teule la Israel lina mkono wake kwenye bidhaa hizo!!!

Ili kuonyesha chuki zenu vizuri kwa Israel wafuga midevu na majini tafuteni Mitandao yenu itakayoongozwa na Majini yenu!!!
Adiosamigo mdogoee gallow bird gTurn Mzee wa Uharo Ritz na Wafuga Midevu na Majini popote walipo!!!
 
Attachments

  • 4c097ca4aef2d14401ae93ca12bb0d71.mp4
    3.2 MB
Wala sio waislamu tu, watu wa dini zote na mataifa yote yakiwemo ya wazungu wamekuwa wakisusia biashara za wayahudi kama protest dhidi ya kusupport mauaji ya wapalestina. Unaweza soma hapa article juu ya hasara walizoingia wayahudi so far kwa mainstream boycotting.

Inashangaza mtoto wa Kiume unaDiscuss ndevu za Wanaume wenzako wakati hata Yesu alikuwa na ndevu hakuwa kidevu Dodo.
 
Hivi tuna import bidhaa gani kutoka Israel?
kwani kwa umri wangu huu sijawahi kukutana na bidhaa iliyoandikwa made in Israel?
kwa hiyo hatuna cha kupoteza, kwani, hatuna bidhaa zao au pengine zipo kwa 0.05%

Nchi inayo andikwa juu ya bidhaa ndio mtengenezaji. Tukianza kuongelea washiriki nafikiri China ndio inashiriki kwa bidhaa karibia 65% ya world share kwenye Electronics, magari, mitambo na hata mandege yanayoruka huko ila haya andikwi made in China.
 
Nani kakudanganya Pepsi au Coca inamilikiwa au kuanzishwa na wayahudi? Huyo Caleb Bradham wa Pepsi na John Pemberton wa coca cola hawajawahi kuwa na asili ya uyahudi. Hata wamiliki wa sasa wa Pepsi na Coca-Cola mtu kama Laguardia ambaye kampuni yake ndio chairman wa bodi ya PepsiCO sio myahudi!!

Acheni kudanganyana na story za vijiwe vya kahawa. Elimu ndogo ila kujikuta mjuaji tu.
 
Acha ujinga wa kubishana na mimi bishana na huyo Mfuga Midevu na Majini mwenzako hapo kwenye clip!!
 
Inashangaza mtoto wa Kiume unaDiscuss ndevu za Wanaume wenzako wakati hata Yesu alikuwa na ndevu hakuwa kidevu Dodo.
Kama Majini yamepanda wahi haraka kwa Mchungaji ukaombewe!! Acha ujinga kutumia bidhaa za Israel!!
 
Hivi tuna import bidhaa gani kutoka Israel?
kwani kwa umri wangu huu sijawahi kukutana na bidhaa iliyoandikwa made in Israel?
kwa hiyo hatuna cha kupoteza, kwani, hatuna bidhaa zao au pengine zipo kwa 0.05%

Nchi inayo andikwa juu ya bidhaa ndio mtengenezaji. Tukianza kuongelea washiriki nafikiri China ndio inashiriki kwa bidhaa karibia 65% ya world share kwenye Electronics, magari, mitambo na hata mandege yanayoruka huko ila haya andikwi made in China.
Acheni ujinga!! Acheni kutumia Simu wala Computer!!

Msikilize Mwamba Kiboko cha Magaidi huko Mashariki ya kati na ulimwenguni kwa ujumla akitoa somo kuhusu Teknolojia yao!!
 
Attachments

  • 7e6a55c9bfa7f3aa6575fa6a59a3628e.mp4
    5.3 MB
Wala sio waislamu tu, watu wa dini zote na mataifa yote yakiwemo ya wazungu wamekuwa wakisusia biashara za wayahudi kama protest dhidi ya kusupport mauaji ya wapalestina. Unaweza soma hapa article juu ya hasara walizoingia wayahudi so far kwa mainstream boycotting.

Hiyo haina impact yoyote kwenye Uchumi wa Taifa teule!!

Wakati huohuo Taifa teule la Israel linanufaisha dunia kwa kwa teknolojia zake mbalimbali!!
 
Attachments

  • 0a29862170e523cfeb8072c35aac8393.mp4
    5.4 MB
Acheni ujinga!! Acheni kutumia Simu wala Computer!!

Msikilize Mwamba Kiboko cha Magaidi huko Mashariki ya kati na ulimwenguni kwa ujumla akitoa somo kuhusu Teknolojia yao!!

Kijana, uwe unaongea kwa hoja sio kwa jaziba na matusi
hivi unafikiri unaletea hoja watu ambao hawajaenda shule?
ORODHESHA BIDHAA TUNAZOTUMIA TANZANIA ZILIZOANDIKWA MADE IN ISRAEL?
 
Ndiyo maana wewe nakuita Mjinga maana hujielewi na hujui kuwa mjinga si tusi!!
 
Attachments

  • 2f2f6d0db76363f9182930495c26c2e6.mp4
    36 MB
Ndiyo maana wewe nakuita Mjinga maana hujielewi na hujui kuwa mjinga si tusi!!

NDIO SABABU MNATOKA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI MKISEMA MTIHANI ULIKUWA RAHISI ILA MNAPATA SIFURI.
Nimesema hivi; ORODHESHA BIDHAA TUNAZOTUMIA TANZANIA ZILIZOANDIKWA MADE IN ISRAEL?
 
Kwa hiyo hata kwa akili ya darasa la pili unafikiri Coca cola na Pepsi zinatengenezwa Israel??
Wale wanazalisha tu kama sisi na hairuhusiwi kutemper na formula ya coca/Pepsi. Israel wana zalisha soda yao inaitwa Kristal; kama sisi tulivyo na Azam Cola
Kuhusu chip za simu na hata Comp ; Watengenezaji wa bidhaa nyingi duniani huwa wanatumia vifaa kutoka Nchi tofauti tofauti kulingana na urahisi wa bei, na technologia. Mfano: Huna haja ya kuzalisha chupa za kuwekea mafuta wakati mwenzako tayari anazalisha vifungashio kwa bei poa.

Mfano mwingine; kwa miaka mingi, ndege aina ya Boeing walitegemea kuagiza mfumo wote wa Break na matairi kutoka Ufaransa. ILA utaonekana HAMNAZO kama utasimama na kusema Boengi inatengenezwa Ufaransa. Lakini pia sio kwamba Ufaransa ikiacha kutengeneza hizo matairi na Break system ukafikiri kwamba ndege za Boieing hazitazalishwa?
 
Hiyo haina impact yoyote kwenye Uchumi wa Taifa teule!!

Wakati huohuo Taifa teule la Israel linanufaisha dunia kwa kwa teknolojia zake mbalimbali!!
Taifa teule ndio nini? Yaani nchi inayofadhili ushoga na kuchinja watoto inakua taifa teule? ina maana Mungu anafurahia hilo? Acheni kufuru.
 
Back
Top Bottom