Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 590
- 1,405
Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na kufungashwa ndani ya saa 48 tu! Ukifungua chupa yetu, harufu yake inatosha kukuambia kuwa umeshika dhahabu ya kijani.
Siri yetu ni nini? Whole Beans pekee!
Tofauti na wengine wanaouza kahawa iliyosagwa (ground) ambayo inapoteza ladha haraka, sisi tunakuuzia punje nzima (Whole Beans). Hii ni kwa sababu tunajali ubora; tunataka uisage mwenyewe muda mchache kabla ya kunywa ili upate ladha na mafuta (oils) yote ya asili yakiwa bado mapya kabisa.
Chagua Saizi Yako Leo:
• Jar ya Kifahari (500g): Kwa wale wanaojua thamani ya kweli na hawataki kuishiwa radha ya Kilimanjaro nyumbani kwao – 30,000 Tsh.
• Paketi ya Majaribio (200g): Kwa wale wanaotaka kuonja maajabu yetu kwa mara ya kwanza – 10,000 Tsh tu!
Tunauza kiasi kikubwa kila siku na oda ni nyingi, hivyo usichelewe. Hii si kahawa ya kukuta kwenye rafu za madukani kwa miezi sita;
Wahi yako sasa!
Tunafanya delivery mikoa yote.
Piga/WhatsApp: 0753038470
Brewa Coffee Co. – Taste Kilimanjaro in Every Sip au weka oda kupitia tovuti yetu www.brewa.co.tz