Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

IMG_5046.jpeg
 
 
Vijiwe vichache wanakahawa pure.. Kahawa bei ipo juu.. Wengi wanachanganya na mambegu flani hivi kutoka kusini yanauzwa kilo 1000.. mtu anachangaya 5kilo ya kahawa arabica,2 kilo robusta na 3 kilo yale mambegu..
Asante mkuu kwa kahawa ,one of the best coffee ever tested.
 
Back
Top Bottom