Umoja wa Mataifa nchini Kenya umemteua Bornface Otieno Owino, mkulima na mbunifu katika sekta ya kilimo kutoka Kaunti ya Homa Bay, kuwa Mtu wa Mwaka 2026.
Yeye ndiye mtu wa kwanza mwenye umri wa chini ya miaka 30 kupokea tuzo hiyo.
Bw. Owino alitunukiwa kwa mchango wake katika kuleta mabadiliko...