Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote...
France-Albert René maarufu kama The Boss.
Alikuwa Rais wa pili wa visiwa vya[nchi ya] Seychelles aliyehudumu katika uongozi wake toka mwaka 1977 mpaka 2004.
Aliitwaa nafasi hiyo kupitia mapinduzi yaliyofanyika 1977 yaliyofadhiliwa na nchi ya Tanzania.
Chini ya uongozi wake Seychelles iliweza...
Waziri wa Mambo ya Nje ni bosi wa Mabolizi wote Duniani. Bolozi ni vituo vya kazi ambavyo Waziri anavisimamia.
Uteuzi wa DGIS umeenda sambamba na kuondoa mabosi wake wa zamani ofisini yaani Waziri na Naibu waziri huku KM akibaki.
Je, kuna namna January amewahi kuwakosea heshima wazee hawa...
Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema.
Sasa nyie vibarua kuna...
Shalom,
Naripoti toka Dodoma City
Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa.
Anasilimulia kuwa ana boss wa kike ofisni na yupo ngazi ya juu kidogo kwa maana sio boss wake wa uwajibikaji wa...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Hii picha ya Mwijaku aliyoipiga akiwa Mecca kwenye ibada ya Hija inamuenesha karibu yake akiwa na mtu anafanana kabisa na Boss wa kundi la kigaidi Hamas Ismail Haniyeh upande wa kulia.
Mwijaku ni msomi mhamasishaji na mchekeshaji maarufu sana nchini.
Mungu amewaumba wanawake kutokana na sisi na inapaswa kuishi nao kwa makini sana kwani wao ni wepesi kushawishika ingawaje wanaakili nyingi
Huko marekani katika viunga vya Los angels mwanadada Jane 36 aliyejipatia utajiri kwa kuiba manii ya boss kutoka kwenye pipa la taka na kujipandikizia...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Haji Mohamed Haji kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO).
Kabla ya uteuzi huo Haji alikuwa ni Mshauri Elekezi wa Kujitegemea, uteuzi huo unaanza leo May 22,2024.
TCRA pamoja na haya makampuni ya simu ya Tanzania (Tigo, Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel,ttcl), miongoni mwa wateja wenu kuna hawa wenye mahitaji maalumu ambao ni viziwi kiasili. KIZIWI maana yake ni mtu ambae hawezi kuwasiliana kwa namna yoyote ile kwa njia ya sauti zaidi ya video call na sms...
Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani.
Hatukulipwa posho ya muda wa ziada (extra duty allowance).
Tulikuwa tunafanya kazi mpaka unahisi homa...
Mimi kama shabiki wa Soka na mfuatiliaji wa Ligi ya NBC, nimefurahi yanga kufuzu lakini na Simba Ina chance ya kufuzu 50/50.
Kwa uwelewa wangu timu sita tayari zimeingia robo fainali, ikiwemo mamelod na Yanga na Al ahly. Ukiangalia Kwa upande wa Yanga timu ambayo inaweza kumsumbua robo fainali...
Jana kuna mchina nilikutanishwa nae ni CEO wa kiwanda cha uzalishaji wa marine boards, melamain boards, pliewoods na MDF ambacho wamekijenga pale Mafinga.
Nilimuuliza ABCs za maisha yake hapa Tanzania na akanambia yafuatayo.
1. Yeye alikuja Tanzania kipindi cha ujenzi wa uwanja wa mpira wa...
Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu.
GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na...
Maboss wa kiume hujitahidi sana kuwa katikati / neutral na hata ishu za chuki / upendeleo huwa wanaweza kula na kipofu wengine iwe ngumu kujua kinachoendelea,
Ubaya wa maboss wa kike ni kwamba wengi huwa hawana uvugu vugu, ni aidha wawe malaika ama wakaksi, sasa umkuta mkaksi maji unayaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.