Nimesikia kuwa benki kuu ya Tanxania imeanza utaratibu wa kununua na kuhifadhi dhahabu. Walianza mwaka jana na mpaka sasa wamenunua tani 2.6 kwa bilioni 570. Lengo lao ni kununua tani sita kila mwaka. Wanataka Tanzania iwe miongoni mwa nchi kumi za Afrika zenye akiba kubwa ya dhahabu. Kongole kwao.
Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu wengi, lakini nimeamua kuandika hapa kwa kuwa najua kuna wenzetu ambao wana msongo wa mawazo...
Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watumiwa 10 kwa makosa mbalimbali ikiwemo utapeli Kwa kutumia kampuni ya kitapeli ijulikanayo kama Manyara LBL Company Limited inayotoa huduma za kuwekeza na kukopesha fedha kinyume cha sheria na kanuni za Benki Kuu ya Tanzania huku mmoja wa...
Pamoja na kuwalaghai wanachama wao kuwa wamewasilisha nyaraka zote BoT kwa uhakiki/ usajili . LBL mpaka sasa hawajafanya hivyo. Wanachama jiandaeni kisaikolojia jamaa wanawapuna kindezi dakika za jioooni kwa mgongo wa ku-upgrade
Wadau, baada ya Sekseke ya online platforms kutoa mikopo na kua za kudhalilisha watu ,Benki Kuu iliinglia kaylti na kuweka mwongozo na kufungia platforms ambazo haizkuwa zimesajiliwa.
Je, Kwa Sasa ni platforms zipi zinatoa online mkiopo na zomesajiliwa na BOT?
Je, interest kwa Mwezi zikoje...
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
WAZIRI MAVUNDE - BENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI
▪️BoT yanunua dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 570
▪️Asisitiza dhamira ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa 10 yenye hifadhi kubwa ya dhahabu Afrika
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
Kahama, Tanzania
TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI
YAKE
https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8
Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza thamani, kwani tukikata madini kama tazanite, almasi, Vito hadi watalii wakija Tanzania wanunue madini...
Habari wana JF.
Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana.
Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo.
Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linalotarajiwa kuanza Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025.
Zoezi...
Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara
Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
Kwenye uongozi wa taasisi, iwe ni biashara au kampuni au taasisi ya aina yoyote, huwa kuna swali moja huwa tunapenda kuliuliza, ambalo ni: 'Matokeo yapo wapi?'. Hili ni swali la kikatili sana, kwasababu huwa halihitaji kujiteteta wala kulaumu watu wengine, lenyewe linataka uoneshe matokeo yapo...
Hali zenu wandugu?
Kuna tangazo la kazi za BOT zilitangazwa na Ajira portal,lile tangazo lilisema wanatakiwa kuapply watu wenye upper and first class pekee, ila cha kushangaza mfumo uliruhusu mtu yeyote mwenye degree tajwa aombe.
Hivi tunaweza kuitwa kweli kwenye usaili, na imekuaje mpaka...
Job type: Full-time
POST COMPUTER ANALYST PROGRAMMER II – 3 POST
EMPLOYER Bank of Tanzania (BOT)
APPLICATION TIMELINE: 2024-12-05 2024-12-19
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Administer computer systems by ensuring that at all times the systems are properly functioning and help users...
Habari yenu wana jamvi.
Kuna mikopo ambayo huwa inatolewa na serikali kupitia hazina Kila mwaka kwenye halmashauri zetu.
Sasa nimefukuzia huo mkopo Miaka 3 sasa bila mafanikio hata sijui huwa nakosea wapi!! mara ya mwisho nimeomba mwaka huu majibu yao kwenye mfumo ni REJECTED....na hapo baada...
Napenda kudecrale interest, Binafsi nilikuwa mmoja wa watumiaji wa hii mikopo, Kwa mkopo wa 83,000 ndani ya miezi mitatu iliyopita, marejesho yalikuwa ni 93,000
Nimekopa kiasi hiki mara tatu na kuilipa ndani ya muda wa mwezi mmoja on time pasipo kuvuka muda huo
Cha ajabu ni siku ya jana nikiwa...
Maisha ya mjini, kama vile Dar es Salaam, yamejaa changamoto za kifedha, huku dharura za ghafla zikivuruga bajeti za familia nyingi. Katika miaka iliyopita, kampuni za kukopesha fedha mtandaoni zilionekana kama mkombozi wa haraka kwa wengi waliokuwa wakihitaji pesa za dharura. Hata hivyo, nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.