BOT ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000).
Jipapatueni huko muanze kuizalisha hiyo noti, mtakuwa mmepunguza mzigo kwa watu fulani fulani nafikiri hata nyinyi mnanielewa!.
by the way hakikisheni uchumi unakuwa stable sio kuileta hiyo noti ndo nathamani ya...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni.
Meneja...
Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi…
Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia...
Tangazo ni hili
--
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOA KWENYE MZUNGUKO NOTI ZA ZAMANI ZA SHILINGI YA TANZANΝΙΑ
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuhusu zoezi la kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu...
Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili, wanaotoa huduma za mikopo kidijitali.
Agosti 19 mwaka...
Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi, kutokusumbua ndugu na jamaa wa mkopaji, kutokusambaza taarifa za mkopaji.
Mimi nilisema hakuna hata kimoja...
Hivi karibuni kumekua na mijadala mingi ya kuhusu hii mikopo ya mitandaoni na wahanga wakizidi kuongezeka licha ya unyanyasaji na udhalilishaji unaofanywa na watoa huduma ambao hivi karibuni BOT wameukemea baada ya wabunge nao kuona ndugu na jamaa zao nao wamekua wahanga baada ya wao wenyewe...
Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini uliofanyika jijini Dodoma ambapo elimu kuhusu utekelezaji wa sheria hiyo...
Kuna mtoto wangu anaomba akasome mambo ya banking au kodi. kati ya TRA academy na BOT academy, wapi bora unafikiri aende? which one is better than the other. asante.
Tujikumbushe matukio muhimu yaliyotokea hapo awali ktk nchu yetu na majirani zetu Pia.
Pamoja na mambo mengi yanayozungumzwa kuhusu msala huu wa Utekaji, utesaji, upoteaji na mauwaji ya Raia ambayo yameshika kasi ktk nyakati hizi ni wazi sasa tunaweza kuswma yafuatayo.
1. Mh Rais Amiri Jeshi...
Rais Samia, kwanza nashukuru umemuondoa Nape Nnauye kwasababu TCRA na Tume ya Ulinzi wa Taaifa Binfsi(PDPC), ni taasisi zilikuwa chini yake na mpaka anaondoka, hatuijaona hizi taasisi zikiwa serious katika kuchukua hatua(sijaona wala kusika waliokamatwa kwa kudhalilisha watanzania).
Naomba...
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa anayejua anisaidie.
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa anayejua anisaidie.
Akihotimisha Hotuba ya Bajeti, Waziri wa Fedha De.Mwigulu Nchemba amesema Nchi inakopa Kwa sababu ni Tajiri Kwa kuwa maskini hawezi kopa,kukopeshwa maana haaminiki.
Dr.Mwigulu amesema Nchi zote Zenye Uchumi mkubwa ndio Zina Madeni makubwa kuanzia Ulaya,Marekani Hadi Afrika kwani ndio utaratibu...
UTANGULIZI
Mafanikio siku zote hayaendi kwa watu wanaosubiria hali au mazingira yawe kamili ,
Bali mafanikio huenda kwa wale wanaojitoa na kufanyia kazi mambo au fursa zote zinazokuja mbele yao.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi kubwa la matumizi ya sarafu za mtandaoni, kwa nchi zilizoendelea...
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto tu unanisumbua.
Nikiwa shuleni nilifuata vizuri ile kanuni maarufu ya NENDA SHULE, SOMA KWA BIDII...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.