BoT tupeni majibu sarafu ya Tsh 100 imetoweka mtaani

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kutoweka Kwa sarafu ya sh 100 kama ilivyo ya sh 50 hii ni hatari kiuchumi

Hizi sarafu mnazitoa kwenye mzunguko makusudi ili iweje

Kenya Kwa sarafu ya KSH 20 unanunua mkate wa familia vocha n.k ila huku tushasahau

BOT tupeni majibu Tsh 50, 100, 200 hazionekano kwenye mzunguko
 
Kafie mbele. Sisi tunatiki bila shuruti
 
Back
Top Bottom