Ufisadi wa sasa una originate 'juu' ndo mana ni ngumu kufahamu. BOT, Mwigulu, wana siri nzito

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Kiuhalisia Ufisadi huu wa Leo unaoibuliwa na Mange Kimambi, Kuna uwezekano Mkubwa chimbuko lake ni Ikulu, na wahusika wa Karibu ni Waziri wa fedha na Governor wa BOT, na Kwa kiasi kikubwa Wafanyabiashara wakubwa wanahusika Kwa kukwepa Kodi kupitia Ikulu na vyombo vyake, mtu kama GSM ana tabia ya kupigia simu Wakuu wa Bandari ambayo Sasa IPO Mikononi mwa wafanyabiashara na wakuu wa TRA, so msishangae mtu kutoa 10b na anakwepa mabilioni ya Kodi.

Ufisadi huu kama ungefanyika nje ya ikulu ingekuwa Raisi sana Kwa watu kujua na Kusema hadharani, Sasa kwakuwa unafanyika Ikulu sehemu ambayo haikaguliwi na Ina kinga dhidi ya vyombo vyote basi hakuna wa Kusema, kiuhalisia hatuna nchi, ni kama ishauzwa.

Rais kamwe hatoweza kumtumbua Waziri wa Fedha Wala gavana wa BoT kwakuwa ndo wanasiri kubwa juu ya utajiri wa uwizi walionao viongozi wa Ikulu na watoto wao.

Hatuna la kufanya, Bali tufanye kazi kama alivyosema diamond. Na siku nikisikia nchii hii Ina uasi sababu ya ufisadi sitasikitika. Najiuliza je haya yanatokea kwasababu Rais ni raia wa nchi nyingine Kwa maana ya Zanzibar ama Lah. Ila naamini Kila baya Lina mwisho mmbaya
 
Hili jimwigulu japo gonjwa sijui kwanini linachelewa kufaaa?
 
Kwa taarifa yako ufisadi au wizi wowote mkubwa ndani ya nchi hii basi asili yake au mwanzo wake ni IKULU , kuanzia EPA, DOWANS na RICHMOND.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Watanganyika wenzetu wameamua kuliangamiza Taifa.
 
Kwa taarifa yako ufisadi au wizi wowote mkubwa ndani ya nchi hii basi asili yake au mwanzo wake ni IKULU , kuanzia EPA, DOWANS na RICHMOND.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ni kweli hata Richmond Kikwete alitoa maelekezo Kwa Lowasa, na Lowasa akaita vigogo wa TANESCO Ikulu na kuwaamrisha wampe tenda Richmond aka rostam na kwamba ni maelekezo kutoka juu
 
Back
Top Bottom