Jichanganye ukope hiyo laki ukidhani utarudisha laki na 400 kwa mwezi, hapo ukikopa 100,000 utatumiwa 60000 halafu unaambiwa ulipe 100,000 baada ya siku 14 ile 40000 unaambiwa ni ada.Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu.
Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili.
Embu tupate Futuhi ya watoa mikopoView attachment 3522610