Wizara na BoT Tuwekeeni Upembuzi unaoonesha kila awamu ilikopa Jumla ya shilingi ngapi !?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021

Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana futureless wa CCM wamekuwa na majibu ya jumla jumla miaka yote kwa kupamba awamu husika kuwa deni la Taifa ni la tangu nyerere.

Dunia ya sasa ni dunia ya data , unaingia kwenye hoja kwa data na unatoka kwenye hoja kwa data. Nilitegemea Wasira kiongozi mkubwa kama yeye aje na dalili ( data) kwamba Samia hajakopa pesa nyingi kuwazidi watangulizi wake. Sio kutuambia deni ni la Nyerere, that is very low and what a shame

Ili kila awamu iwajibike, tuweke jumla ya fedha alizokopa Mwalimu, hadi kufikia shilingi alizokopq Samia , kama inavyoonekana kwenye Jedwali hapo chini watanzania wafanye Comparative analysis.

Tunaweka all factors inclusive ikiwemo inflation rate , Market appreciation rate , currency progression rate and depreciation rate to get the current value ya fedha zilizokopwa na Mwalimu hadi samia ili tufanye comparative analysis and performance based . Maana Nyerere alikopa hela kidogo na tukawa na ishu za maji vijijini, watoto wanakaa chini, shule hazina matundu…. Matatizo ambayo mpaka Leo yapo na deni linazidi kwenda mbinguni

Je Ni ipi Project kubwa iliyoanzishwa na Samia hadi sasa inayokula mpunga wote huo, ?

Fedha zinazokopwa haziendi zinapokusudiwa na zinaingia kwenye mifuko ya watu- Rais Samia

Dr Megalodon, PhD candidate ( Ottawa University)
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
 
Attachments

  • IMG_4724.jpeg
    IMG_4724.jpeg
    1.5 MB · Views: 37
  • DDED3536-EEE9-48B8-A6F9-FD0AB882FEFA.mp4
    19.9 MB
Tunaweka all factors inclusive ikiwemo inflation rate , Market appreciation rate , currency progression rate and depreciation rate to get the current value.

Pale Wizaran na BOT, wamejaa Mtoto wa Mjomba + wa Vimemo.

Ukija Mtaani na Mtandaoni, unakutana na Vijana wa " Mama asemewe "

Nauhakika kabisa kabisa, hayo Maneno niliyoyabold ,hawatayaelewa, na hapo ndipo kwao tatizo litaanzia kwenye Hii Hoja yako .

Huwezi kua Mkopaji tu ,huku huwekezi katika Uzalishaji , alafu Deni liache Kukua.
 
Nadhani Strategies ya Samia ni kukopa. Sijajua next 5 years atalifikisha wapi deni

Ni nightmare ya Tanzania kuwahi kutokea
 
Ukiangalia line progressive ya deni, ndani ya miaka 4 Samia ameweza kukopa fedha nyingi kuliko awamu zote. Over 50% as last update of march 2021

Viongozi wa CCM, machawa wa CCM. na Vijana futureless wa CCM wamekuwa na majibu ya jumla jumla miaka yote kwa kupamba awamu husika kuwa deni la Taifa ni la tangu nyerere.

Dunia ya sasa ni dunia ya data , unaingia kwenye hoja kwa data na unatoka kwenye hoja kwa data. Nilitegemea Wasira kiongozi mkubwa kama yeye aje na dalili ( data) kwamba Samia hajakopa pesa nyingi kuwazidi watangulizi wake. Sio kutuambia deni ni la Nyerere, that is very low and what a shame

Ili kila awamu iwajibike, tuweke jumla ya fedha alizokopa Mwalimu, hadi kufikia shilingi alizokopq Samia , kama inavyoonekana kwenye Jedwali hapo chini watanzania wafanye Comparative analysis.

Tunaweka all factors inclusive ikiwemo inflation rate , Market appreciation rate , currency progression rate and depreciation rate to get the current value ya fedha zilizokopwa na Mwalimu hadi samia ili tufanye comparative analysis and performance based . Maana Nyerere alikopa hela kidogo na tukawa na ishu za maji vijijini, watoto wanakaa chini, shule hazina matundu…. Matatizo ambayo mpaka Leo yapo na deni linazidi kwenda mbinguni

Je Ni ipi Project kubwa iliyoanzishwa na Samia hadi sasa inayokula mpunga wote huo, ?

Fedha zinazokopwa haziendi zinapokusudiwa na zinaingia kwenye mifuko ya watu- Rais Samia

Dr Megalodon, PhD candidate ( Ottawa University)
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Kifupi ni kwamba 40% ya deni.la Taifa ni miaka 4 ya samia. Mhii hatari hatari sana..Hatuna Raisi hapo
 
We mbona mjinga,kwako kuhakikisha mkopo ni kuanzisha project mpya, huyo Mungu wako wa chato hiyo sgr na bwawa aliviacha vikiwa asilimia ngapi?
 
Wewe ni mpumbavu,

Jibu hoja iliyopo, mbona unapuyanga kama ubongo wako umejaa michuzi ya bendera ya kijani?

Zaidi ya 30.t. zimetumika kwenye nini?

Unajua 30.t zinaweza kujenga JKNHP mangapi na Madaraja mangapi kama Busisi,
 
Kwani bajeti yako ni tegemezi kwa kiasi gani?..vyumba vya madarasa vilijengwa kwa pesa gani? mikopo elimu ya juu,ajira, mikopo ya kijinga aliyokopa Mungu wako inalipwa na nini?..sgr na bwawa Mungu wako aliviacha asilimia ngapi
 
Mmh!

Mkuu, vaa basi uzalendo japo robo tu ili uihurumie nchi yako inavyopunwa

Sasa ukitaja sjui shule, sjui zahanati n.k

Sasa mapato ya ndani na kodi zetu huwa zinaenda wapi?

Tunapozungumza 30.t ya mikopo na kuuliza inaenda wapi, ujumlishe na mapato ya serikali ya kila mwaka ambapo ni 32.t. kila mwaka

Huoni tu hayo, au ni mapenzi ya ccm yaliyopofusha macho mkuu

Na huyo unaye mwita mjinga Magufuli, miaka yote sita kakopa 9.t. pekee,

Na hizo ndizo zilizojenga sjui mfugale Fl, sjiu ununuzi wa ndege 12 new, sjui hosteli, salenda bridge, Daraja la kigamboni, JK terminal 3 upanuzi wa bandari zote n.k, na hizo zote zilikamika
Kaanzisha hiyo miradi yote anayoendeleza mpendwa wetu sana
 
Hii nchi inaliwa na watu wachache kama mchwa na mbaya zaidi majizi yanazidi kuja na mipango ya upigaji mfano ni Kazi anayo fanya David ya udalali wa rasilimali za nchi kwa mgongo wa PPP
 
Attachments

  • 20250329_165437.jpg
    20250329_165437.jpg
    292.4 KB · Views: 38
Mmh!

Mkuu, vaa basi uzalendo japo robo tu ili uihurumie nchi yako inavyopunwa

Sasa ukitaja sjui shule, sjui zahanati n.k

Sasa mapato ya ndani na kodi zetu huwa zinaenda wapi?

Tunapozungumza 30.t ya mikopo na kuuliza inaenda wapi, ujumlishe na mapato ya serikali ya kila mwaka ambapo ni 32.t. kila mwaka

Huoni tu hayo, au ni mapenzi ya ccm yaliyopofusha macho mkuu

Na huyo unaye mwita mjinga Magufuli, miaka yote sita kakopa 9.t. pekee,

Na hizo ndizo zilizojenga sjui mfugale Fl, sjiu ununuzi wa ndege 12 new, sjui hosteli, salenda bridge, Daraja la kigamboni, JK terminal 3 upanuzi wa bandari zote n.k, na hizo zote zilikamika
Kaanzisha hiyo miradi yote anayoendeleza mpendwa wetu sana
Unaijua bajeti?..nakisi/deficit huwa ni asilimia ngapi?..inajaziwa vipi?.. deficit ni dola milioni 648,hiyo ni dawa na kiasi gani kwa shilingi ya tz?..piga hesabu toka 2021-2024,ni kiasi gani!?
 
Attachments

  • Screenshot_2025-03-29-22-04-51-656.jpg
    Screenshot_2025-03-29-22-04-51-656.jpg
    278.6 KB · Views: 31
Ingekuwa takwimu zinambeba "Mama" zingeshawekwa na wenyewe!

Wapo akina Kafulila wamejipa kazi ya kutakatisha kaniki.
 
Sgr ilikua 30% sasa iko ngapi?..na hiyo ni dar dom,kuna dom-tabora,tabora- mwanza,bwawa?
 
Zungumzia mambo mengine siyo SGR kabisa!

Vipande alivyovianzisha yeye vyote vipo nyuma ya muda na zaidi ujenzi umesimama kisa ukata.

Lot5 ilipaswa CCECC akabidhi June 2024,kesho kutwa itakuwa April 2025 uhalisia hata 50% haijafika japo wenyewe wanadai wapo 63%.
 
Lot 5 si ndiyo isaka-mwanza?..kwamba ilitakiwa ikamilike 2024,ccecc wameanza lini kujenga hiyo lot?.. halafu mwanzilishi wa dar-moro- dom aliishia wapi?..50% haijafika, wewe ni mhandishi uliyepo site!?
 
Ancestor anapinga mpk walio hai wanamshangaa
 
Zungumzia mambo mengine siyo SGR kabisa!

Vipande alivyovianzisha yeye vyote vipo nyuma ya muda na zaidi ujenzi umesimama kisa ukata.

Lot5 ilipaswa CCECC akabidhi June 2024,kesho kutwa itakuwa April 2025 uhalisia hata 50% haijafika japo wenyewe wanadai wapo 63%.
Na hata hiyo April 2025 utabadilishiwa hadithi baada ya Uchaguzi, Kwani nia ya wauza nchi ni kuwauzia wenzao vyanzo vya mapato wenzao
 
Huwezi kupata majibu kutoka bot Kwa Sasa maana wanajua watamvua ngui mama Ajira zitakua mashakani, hapa ndo nilitegemea ma journalist nguli kuingia kazini wafanye uchunguzi mtu aje na Makala au documentary iliyoshiba, ila watu wenyewe Sasa ndo kina pascal mayalla wamejaa uchawa unategemea nini
 
Back
Top Bottom