Ni shida ndugu😅BOT governor mwenyewe katoka kuwa RAS huko hadi kuwa gavana na elimu yake ya hapa na pale hawezi elewa mnazungumzia nini. Cc Lord denning
Samia snahujumu Taifa.Ni aibu kubwa! Trilion 30 na haijulikani fedha ziko wapi? Mahakama ya kimataifa inapaswa kuingilia kati hili jambo.
Kwa kusema hivyo unamainisha kuwa nchi haikusanyi chochote, kila kitu kinaendeshwa kwa mikopo.Kwani bajeti yako ni tegemezi kwa kiasi gani?..vyumba vya madarasa vilijengwa kwa pesa gani? mikopo elimu ya juu,ajira, mikopo ya kijinga aliyokopa Mungu wako inalipwa na nini?..sgr na bwawa Mungu wako aliviacha asilimia ngapi
Elimu ya masomo ya jioni st yoana.BOT governor mwenyewe katoka kuwa RAS huko hadi kuwa gavana na elimu yake ya hapa na pale hawezi elewa mnazungumzia nini. Cc Lord denning
GuniaKifupi ni kwamba 40% ya deni.la Taifa ni miaka 4 ya samia. Mhii hatari hatari sana..Hatuna Raisi hapo
Hii mbinu tumeishtukia. Mkiulizwa mnang'aka kukimbilia kwa Marehemu. Kuuliza ni haki ya kila Mtanzani, Imani,Itikadi, Dini na Kabila.We mbona mjinga,kwako kuhakikisha mkopo ni kuanzisha project mpya, huyo Mungu wako wa chato hiyo sgr na bwawa aliviacha vikiwa asilimia ngapi?
Bwawa na sgr Mungu wako aliacha viko 30%,hela ya kumalizia 70% imetoka wapi?Hii mbinu tumeishtukia. Mkiulizwa mnang'aka kukimbilia kwa Marehemu. Kuuliza ni haki ya kila Mtanzani, Imani,Itikadi, Dini na Kabila.
Rais anaambiwa tu kakope halafu hajui pesa zinatumikaje. Wanakula wadau na nashukuru nami ka mkondo ka maji kalinipitia nikachota kunywa sababu ya mitanzania mipumbavu kama wewe. Ambayo inaangalia. Dini ya Rais au Chama na wakati mwingine kuchukia kabila.
Hii nchi itauzwa. Pesa wanakopa hazifanyi lolote la maana tunapeana vikao na semina ndani na nje ya nchi. Samia hajui lolote lile. Yupo tu kama picha. Watu tunapiga pesa.
Sasa kama ni hivyo, kwanini matumizi yazidi mapato Tena kwa asilimia zaidi ya 100?.Unaijua bajeti?..nakisi/deficit huwa ni asilimia ngapi?..inajaziwa vipi?.. deficit ni dola milioni 648,hiyo ni dawa na kiasi gani kwa shilingi ya tz?..piga hesabu toka 2021-2024,ni kiasi gani!?
Marekani inadaiwa $30trilioni,huwezi acha wekeza kwenye miundombinu itayozalisha baadae kisa utaonekana unakopa sana,masikini ndiyo Wana mentality ya kukopa ni jambo baya kwa kuwa hawazalishi, uchumi wao ni wa kujikimuSasa kama ni hivyo, kwanini matumizi yazidi mapato Tena kwa asilimia zaidi ya 100?.
Wewe unaona dalili au vyanzo vya kupungua Hilo deni kwa miaka ya hivi karibuni?
Kwahiyo kwa akili Yako unailinganisha TZ na USA,?Marekani inadaiwa $30trilioni,huwezi acha wekeza kwenye miundombinu itayozalisha baadae kisa utaonekana unakopa sana,masikini ndiyo Wana mentality ya kukopa ni jambo baya kwa kuwa hawazalishi, uchumi wao ni wa kujikimu
Na mabeberu wanatumia mifano hiyo hiyo Ili kitu-brainwash kwamba deni linahimilika 😅😅😅Marekani inadaiwa $30trilioni,huwezi acha wekeza kwenye miundombinu itayozalisha baadae kisa utaonekana unakopa sana,masikini ndiyo Wana mentality ya kukopa ni jambo baya kwa kuwa hawazalishi, uchumi wao ni wa kujikimu
Sasa wewe unakopa then unawekeza wapi ? Na kodi unazokusanya zinaenda wapiMarekani inadaiwa $30trilioni,huwezi acha wekeza kwenye miundombinu itayozalisha baadae kisa utaonekana unakopa sana,masikini ndiyo Wana mentality ya kukopa ni jambo baya kwa kuwa hawazalishi, uchumi wao ni wa kujikimu
Kama hujui kinachofanyika nchini,funga bakuli lako, kama hujui makusanyo yanaishia wapi, hupaswi hata kuhoji kuhusu kukopa,maana ni buyu tupu umebeba huko juuSasa wewe unakopa then unawekeza wapi ? Na kodi unazokusanya zinaenda wapi
Third world country unajicompare na first world kwenye deni la taifa are you mad ?
Kwamba marekani haidawiNa mabeberu wanatumia mifano hiyo hiyo Ili kitu-brainwash kwamba deni linahimilika 😅😅😅
Wote si wamekopa,na shida hapa si ni kukopa,au?Kwahiyo kwa akili Yako unailinganisha TZ na USA,?
Kweli tunayo safari ndefu mno....