Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
- Thread starter
- #41
Taja kilichofanyika. Hayo mabarabara yenu na takataka nyingine zinazoharibika kila mvua ikinyeshaKama hujui kinachofanyika nchini,funga bakuli lako, kama hujui makusanyo yanaishia wapi, hupaswi hata kuhoji kuhusu kukopa,maana ni buyu tupu umebeba huko juu
Hiyo SGR ya mchongo mliyopigwa pesa
Head of the state alisema pesa zinaenda kwenye mifuko yenu. Are you informed than her ?